Kwanini wanawake hamna huruma?

Kwanini wanawake hamna huruma?

abdalah Kelenge

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
266
Reaction score
203
Wakuu ni Baada ya kudate na kibinti cha jirani na home sasa kila siku anataka pesa si chini ya 10000 nikimagine hali ilivyokaza kama kiuno cha fisi nachizi imekuwa kero sana mtu anaona hali halisi lakini anakusanya mapato namna hii sijui la kufanya nisaidieni Idea nichanganye na zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiunge kwenye CHAPUTA,bajeti yako kwa mwezi haitazidi 2,000/= lakini ukitaka mapenzi toka kwa mwanamke lazima ugharamie.
Unalia na 10k? Acha kutuaibisha wanaume au wewe mvulana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia usije ukawa unatunza familia. kwa kumkomoa siku akikuomba buku buku 10, we mpe 70 iliamalize wiki bila kukuomba.
 
siko kwenye kundi la kulalamika, ukiomba nakupa tu. mambo mengine tunajitakia wenyewe isitoshe jaama anajifanya dangote mtaani kwao, matkeo yake anakuja kulia huku
Na hiyo ndio sababu mkuu
 
Back
Top Bottom