Kwanini wanawake hamna huruma?

Kwanini wanawake hamna huruma?

Wakuu ni Baada ya kudate na kibinti cha jirani na home sasa kila siku anataka pesa si chini ya 10000 nikimagine hali ilivyokaza kama kiuno cha fisi nachizi imekuwa kero sana mtu anaona hali halisi lakini anakusanya mapato namna hii sijui la kufanya nisaidieni Idea nichanganye na zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipo mpa hiyo pesa inakuaje...janjaruka mkuu ...
 
Back
Top Bottom