Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,964
- 36,433
Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?Duh... Ni kweli but mimi nadhani ni nature hatuna huruma...
Inategemea mkuu kwenye mapenzi hapo sipingi ila kwingine sidhani...Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Wanaume tumekuwa tukiongozwa na hisia siku hizi kama wanawake. Ni vema tuka chukua muda kutafakari suala la sisi kuacha kutumia hisia na kutumia akili, Hekima, busara, logic nkKwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Mbona kwenye mauaji ya visasi na hasira mnaua wanaume wenzenu zaidi kuliko wanawake, hapo mapenzi yanahusikaje?Inategemea mkuu kwenye mapenzi hapo sipingi ila kwingine sidhani...
Kwahiyo kwenye hisia mnakubali nyie ni dhaifu kuliko wanawake?Mara nyingi tukiwa pamoja, nikiwana jqzba au hasira au nazinguana na watu, wife huwa ananicalm down
One day, my daughter did the same thing akanicalm down. Honestly, nilijiona mdogo sana siku hiyo
Ndivyo tulivyo wanaume sio suala la hisia wala kutotumia akili
Jela zimejaa wanaume, vituo vya polisi kesi nyingi za wanaume, mahakama bila wanaume zingedoda
Ni kweli, je kuna tolerance nyingine yoyote ambayo kwa wanaume iko juu zaidi kuliko kwa wanamke?Emotional tolerance ya mwanaume NDOGO comparing na Mwanamke..
Mara nyingi hasira ya wanaume huonekana zaidi kwa sababu kadhaa:Kwahiyo kwenye hisia mnakubali nyie ni dhaifu kuliko wanawake?
Hivi nikuulize swali leo nikupe kitu cha kufikiri mara 3 hivi mwanamke anatembea na kengele chini au hana kengele?Ni nature au nyie jinsia ya kiume ni dhaifu kuliko sisi?
Nini kinakupelekea kusema wanawake wanaongozwa na hisia na ni hisia gani unazizungumzia hapa?Wanaume tumekuwa tukiongozwa na hisia siku hizi kama wanawake. Ni vema tuka chukua muda kutafakari suala la sisi kuacha kutumia hisia na kutumia akili, Hekima, busara, logic nk
Nimejibu sababu ya kwanini tunaonekana aggressive sababu hilo suala limeonekana ni General..Ni kweli, je kuna tolerance nyingine yoyote ambayo kwa wanaume iko juu zaidi kuliko kwa wanamke?