Kwa joto la dar aisee kulala bila feni Ni kujitakia tabuHata mimi huwa napata malalamiko sana but huwa naona kawaida,mie nimewasha zangu feni mpaka mwisho na nipo nomo yeye anasema ataganda!!
May be n maswala ya kibailojia, mie sisikii baridi hovvyo hovyo mda wote nahisi joto yani ukikaa na mimi utaganda kweli!!!
Swali la uchokozi...Kwani umelala na wababa wangapi mpaka asubuhi?
Ni sample size inayotosha hadi kuja na conclusion for the whole population?.Wachache tu, wawili hivi