Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

Hata mimi huwa napata malalamiko sana but huwa naona kawaida,mie nimewasha zangu feni mpaka mwisho na nipo nomo yeye anasema ataganda!!

May be n maswala ya kibailojia, mie sisikii baridi hovvyo hovyo mda wote nahisi joto yani ukikaa na mimi utaganda kweli!!!
 
Kwa joto la dar aisee kulala bila feni Ni kujitakia tabu

Nalowesha mashuka usiku
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom