jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,222
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mimi kama mwanaume nafahamu wazi kabisa ndoa ni baraka na ina mambo mengi mazuri na mabaya ndani yake , pia tumeamriwa tuishi na wanawake kwa akili kwa kuzingatia wanaume tuna vichwa viwili.
Sasa najiuliza sana ni kwanini vijana wengi hawataki kuoa . je, ni nini kinasababisha hasa vijana kukataa kuoa na nini kifanyike kuondoa tatizo hili?