Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa sababu wanawake wengi wanapenda "SELFIE"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We naona una matani na jumba kubwa ohoooo, wasukuma wana sema "ANGALELAGA" sana.
Kweli kabsaWanaume hao hao ndo wanaongoza kujiajiri na kuajiriwa mapema kuliko wanawake ambao wanajua kiingereza
We ndo umeuwa bendi kabisa!!Show Off wanawake tunapenda Show off
ila mimi sijui kingereza Jamani
Nimejua tu kuna MTU anasemwa hapa ila mi sitataja jina maana naogopa noa nyeusi.We naona una matani na jumba kubwa ohoooo, wasukuma wana sema "ANGALELAGA" sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemaliza kila kitu sina chakuongezeaKama hawajui kiingereza hicho unacho kitukuza
basi ufahamu kuwa wanaume wako njema kwenye lugha za asili
kama kuongea kimakonde, kimanyema, kichaga, kikurya, kisukuma, kimtang'ata,
kimang'ati, kimanyema , kikwere, etc