Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
umejibu kisiasa..hata hivyo nimekupata...Nimesema "watu kama kina ...".
Nikimanish wacheza mpira kama yeye.
Ha ha haaa siyo kweli! Kwani wanawake wengi wanaopenda vazi la suluari wana homoni za kiume?
Naomba kukurekebisha sio nywere ni nywele.....
mi naona hizo ni tabia za kike tu kusuka,kuvaa hereni
wanavaa na skin jeans zetu mwisho nao wanataka wafanyiwe kama tunavofanyiwa sie
Acha kuongea upuuzi wewe ficha upumbavu wakokwani umeambiawa wapi kuwa kusuka ni kwa wanawake?......mi najua kuna misuko ya kiume na kike!
Umeona eeh yaani wanatamani wangezaliwa Wanawake LOL Mungu anusuru vizaz vyetuNaomba kukurekebisha sio nywere ni nywele.....
mi naona hizo ni tabia za kike tu kusuka,kuvaa hereni
wanavaa na skin jeans zetu mwisho nao wanataka wafanyiwe kama tunavofanyiwa sie
Naomba kukurekebisha sio nywere ni nywele.....
mi naona hizo ni tabia za kike tu kusuka,kuvaa hereni
wanavaa na skin jeans zetu mwisho nao wanataka wafanyiwe kama tunavofanyiwa sie
Kusuka ni utamaduni au style ya maisha mtu ameamua.
Wamasai, Rasta farri wanasuka.
Wasiwasi wako hauna ukweli na kabla sijaendelea kuchangia huu uzi, nakuomba wewe na Munkari muwaombe radhi wamasai na makabila mengine ambayo wanaume kusuka na kuvaa hereni ni sehemu ya utamaduni wao.Naomba kukurekebisha sio nywere ni nywele.....
mi naona hizo ni tabia za kike tu kusuka,kuvaa hereni
wanavaa na skin jeans zetu mwisho nao wanataka wafanyiwe kama tunavofanyiwa sie
MillionHairs, kweli mimi ni kijana wa umri huo wa 25-40 lakini swaga za namna hiyo kusuka, maadili yameniepusha, lakini vyovyote vile ikiwa kura raha hata ukiwa na mkoko wako na familia yako unakula tu kokote na vizuri kuliko hizo swaga za ajabu....Ndiyo,kwani cha ajabu nini? Si moja ya swaga tu. Hebu vuta hisia wewe ni kijana kuanzia miaka 25-35 au 40...una moto bike yako CC 600,bomba 2 alafu ina crazy sound unakatisha mitaa ya Mbezi tangi bovu hadi Boko unaelekea kula weekend
yako Bagamoyo...nyuma ya bike yako umempakiza mrembo mzuri amekukumbatia huku akiwa na pensi ya jinsi na laba...alafu wewe mwenyewe umesuka line za kiume kichwani na umetupia black sun glass.
Usipime wangu!...watu weweeeee! Ala chezea wewe
kimwonekano au mavazi???
Ndiyo,kwani cha ajabu nini? Si moja ya swaga tu. Hebu vuta hisia wewe ni kijana kuanzia miaka 25-35 au 40...una moto bike yako CC 600,bomba 2 alafu ina crazy sound unakatisha mitaa ya Mbezi tangi bovu hadi Boko unaelekea kula weekend