Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,386
- 4,716
Huwezi kujua maana wewe sio mwanaume. Siri zetu tunazijua wenyeweWanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.
Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.
Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia
Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?