Kwanini wanaume waliooa wanapenda kuficha simu zao?

Kwanini wanaume waliooa wanapenda kuficha simu zao?

Maisha bila stress yanawezekana jiweke mbali na simu ya mwenza wako
 
Hata mimi napita kimyakimya Moneytalk atakuja kulijibu mkuu![emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi tumepeana hadi nywila bana M/Kiti wa Chura[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mara nyingi wanawake kadhaa upenda kujua kila SMS au call inatoka kwa nani .. Ivo ivo kwa wanaume upenda kufatilia SMS au call .. Na mwisho mabishano yasiyo kuwa na tija na kusababisha migogoro
We ukitaka kufuatilia mambo ya mwanamke katika simu utachoka, utasikia shoga niliona....., au sweet acha tu mpenzi yaani aliniboa hapo anaongea na mwenzie wewe utasikiliza hadi utajikuta unaona upuuzi. Hafu kama unamchepuko unakutafuta mida ambayo upo kwako uache maramoja huo hauna adabu na ni mdangaji atakayekuletea fedhea
 
Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.

Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.

Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia

Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
Wana madudu yao. Ila nadhani sio vizur kumfuatilia mume.
Lakin inategeana na wanaume, wengine hawana hofu maana wako clear, mfano simu yangu huwa haina hata pattern, akiamua afukunyue mpaka backup sawa. Mm sina tatizo lolote lile
 
Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.

Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.

Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia

Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
Zinatulea kelele (vuvuzera) na minuno ndani ya nyumba.

Wanawake wengi kwenye ndoa sio waelewa ukipigiwa na jinsia ya kike ambae sio ndugu basi atanuna huyo, kuepusha shari bora uifiche tu maana hujui utapigiwa au hutapigiwa.
 
Siyo siri simu ikiwa clean inakupa maisha ya amani sana maana hata iite no hofu kbsa, ngoja iwe na majanga, hata ikiita nzuri unajishauri namna ya kupokea
 
Mimi na mke wangu tunaaccess ya simu zote na social media accounts zote plus email.Licha ya kuwa na access hamna mwenye shughuli na simu ya mwenzake.

Nafikiri kila ndoa inataratibu zake.Sisi tunaishi kama hivyo.
 
Nina simu maalum ya michepuko na ina kitanda maalum katika gari haijawai ingia ndani hyo. Hii main ikiita unajua kama sio boss atakuwa mteja kama mama atakuwa sisster
 
Nina simu maalum ya michepuko na ina kitanda maalum katika gari haijawai ingia ndani hyo. Hii main ikiita unajua kama sio boss atakuwa mteja kama mama atakuwa sisster
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Balaa tupu ila kama mwenzi wako anachepuka utagundua tu kama wewe mjanja utajua mapema sana.
 
Mm simu yangu haina password mtu akitaka kuangalia shauri yake
 
Ukitaka kuishi maisha marefu acha kufuatilia simu ya mume . Ikiita jifanye hujasikia.

Binafsi huwa siwaelewi wenye mtazamo kama huo wako!
Nyie ndo mnaokujaga kujua kuwa Mume anauhusiano na mwanamke flani Kwa kuchelewa ambapo unakuta tayari alama ya kudumu imeshawekwa kama vile Kuzaliwa Kwa m(wa)toto, kujengewa Nyumba Kwa mchepuko n.k!
Kumbe yamkini ungeweza kupata taarifa mapema ungeweza kuzuia au kuchukua tahadhari !
Ila uzoefu unaonesha ni aina ya kina mama ambao hawawezi kujiendesha wenyewe kiuchumi yaani ni tegemezi na kwao wamechoka!
Awareness is empowering !
Maombi ya ambae yuko aware kuwa mumewe anamchepuko ni tofauti na maombi ya Yule ambae hana Habari wala viashiria vyovyote !
Msisitizo wa maombi ni tofauti!
Yule ambae yuko aware huomba ikibidi Hata Kwa kufunga!
Awareness is empowering !
 
Simu yangu ni kiboko yao ina sehemu 2 yaani switch 1 na 2 mke anajua moja tu picha za ni 2 hazipo ni 1 msg haziingiliani hata niiweke hawezi jua paswed tofauti .hii ndio nayotumia kiboko ya mke
Screenshot_2018-09-11-21-42-44-179_com.miui.home.jpg
 
Kukosekana Kwa kuwepo na free accessibility ya simu ya mwenza miongoni mwa wanandoa ni kiashiria kikubwa kuwa mwanandoa mmojawapo au wote Wawili siyo waaminifu ktk ndoa .
Pale ambapo mambo mengine yanabaki kama yalivyo (When otherthings remain the same)!
Though wanaume wengine wamekubuhu Kwenye uhuni/umalaya kiasi Kwamba mwingine anakubali Mke ku access simu Yake lakini anakuwa na simu nyingine anaifungia Kwenye droo Ofisini , mwingine kama ana Gari anaifungia Kwenye Gari n.k
 
Kukataza mchepuko usipige simu usiku ni kama kujaribu kukataza Jua lisiwake...
 
Write your reply...wanaume wengi hupenda kufanya hvo coz hawajiamini na mambo wanayofanya pia wengne hufanya hvo wacwaumize wake zao
 
Back
Top Bottom