Kwanini wanaume waliooa wanapenda kuficha simu zao?

Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.

Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha.

Simu ikiita akiwa mbali nayo utaona speed atayotoka nayo kuikimbilia

Najiuliza hii ni kwanini ? Kama ni mchepuko kwann usiuambie usikupigie simu usiku?
Huwezi kujua maana wewe sio mwanaume. Siri zetu tunazijua wenyewe
 
Wana majanga mengi kwenye hizo simu hasa wale wenye michepuko ya kudumu ndo kabisaa.
 
Mimi Nimeoa mwaka wa 10 now ,simu yangu sifichi na inaweza hata kuwa sebuleni na mimi nipo chumbani and vise vesa.Sijawahi kugombana na mke wangu kwa sababu ya simu,
 
Back
Top Bottom