Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,901
Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.
Why mpo hivi?
Why mpo hivi?
Wanaume wahuni hupenda degedege posture full stop.Mnasex wote , mnaambiana sex ikiketa shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.
Why mpo hivi??
Wala sijapigwaKuna mtu kapigwa jiwe gizani huku analia kama kachinjwa...
Kweli kabisa...Majukumu mpenz...hata kwenye ndoa usijethubutu kuzaa kama simbilisi ukitegemea utamfurahisha mume
Sina mimba just a question kadada kadogo kazuri kamezalishwaYou a dating wrong person nliku approach ukanikataa + kunisimanga malipo ni hapa hapa
Ulinipenda nilidhani niuongooYou a dating wrong person nliku approach ukanikataa + kunisimanga malipo ni hapa hapa
Niwaulize kidogo tu: Kwani mlipokuwa mnaenda kusex mlikumbuka kwanza kujiwekea malengo??? (ya muda mfupi, muda wakati na ya muda mrefu) au mlikwenda kumalizana usongo.Mnasex wote , mnaambiana sex ikiketa shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.
Why mpo hivi??
Huku kwetu kunamtu kapigwa na jamaa kampa mimba kakimbia...Wala sijapigwa
Siunajua tu ile haraka haraka for the first time ikawa mimbaNiwaulize kidogo tu: Kwani mlipokuwa mnaenda kusex mlikumbuka kwanza kujiwekea malengo??? (ya muda mfupi, muda wakati na ya muda mrefu) au mlikwenda kumalizana usongo.
Acha tuHuku kwetu kunamtu kapigwa na jamaa kampa mimba kakimbia...
Kumbe mtaani wanajua anagawa mimba kama pipi kijiti.
Na naendelea kukupenda ntaacha siku bashite akiwa raisiUlinipenda nilidhani niuongoo