Kwanini wanaume wako hivi?

Ingependeza kama kichwa cha habari ungeandika "Kwanini wanaume ninaokutana nao wanaishia kunipa mimba na kunikimbia" Maana ulivyoandika kichwa cha habari kimekaa ni kama unatugusa wote wakati wengine hata hatujuani na hatujawahi kukutana na wewe.

Anyways shida haipo kwa hao wanaume ipo kwako wewe maana hujiulizi kwanini kuna wenzako wanaolewa na wanazaa vizuri na wanaume zao wanalea na kutunza familia zao.

Ni kwanini wewe ukipigwa mimba unakimbiwa?
 
Ingependeza kama kichwa cha habari ungeandika "Kwanini wanaume ninaokutana nao wanaishia kunipa mimba na kunikimbia" Maana ulivyoandika kichwa cha habari kimekaa ni kama unatugusa wote wakati wengine hata hatujuani na wewe.

Anyways shida haipo kwa hao wanaume ipo kwako wewe maana hujiulizi kwanini kuna wenzako wanaolewa na wanazaa vizuri na wanaume zao wanalea na kutunza familia zao.

Ni kwanini wewe ukipigwa mimba unakimbiwa?
Umeenda mbali.
1 . Umejibu kwa hasira
2.Sina mimba
3. Sipo single
4. Niwasichana wengi wadogo mnawatumia mnawakimbiamnawaachia majukumu.
 
Kuna wachangia mada kama sita hivi nimewasuspect watakuwa na hiyo tabia..

Dawa yenu ni vipapai tu, unapigwa kipapai cha kidigo dume zima unakula ndimu udongo miezi9 na siku anajifungua uchungu nyonga inawaka kama kama..
 
Me nitaendelea kusema, usibebe mimba bila kumshirikisha mwenzako. Na mkizidiwa mkafanya kwa bahati mbaya, kunywa tu ma P2 maana unaweza kuja kulia sana huko mbele
 
Mnasex wote , mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu.

Why mpo hivi??
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hivi tukiwa serious ndoa yako ipo inapumuliq gesi saizi hadi unasubiria divorce ili uoe tena mama kaenda nje kwa mzunguu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom