The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
Umetembea na wangapi?Naongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
Kwenya sample yako ulichukua makabila mangapi?
Umetembea na wangapi?Naongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
uko romantic hahahahawachaga wasasa tumebadilika.
Na nyie wanyakyusa hampo romantic?[emoji20]Lohhh hii sasa kali jamani
Ewaaa
Kwa hiyo uliambulia Pesa tu ila romantic zeroNaongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
Sasa hapo ndo umeongea... Tuwaachie uzi wao... Ila hujantambulisha kwa ndugu zako ujueNadhani kama wana akili watakuwa wameshakuelewa...
Basi ya kwetu tuyaache kwetu...
Asante shemejisawa😀😀
uko romantic hahahaha
Umedate nao ""SANA""na una ""UZOEFU"" anhaa kumbe nimeshaelewa!!!Naongea kwa uzoefu sababu nimedate nao sana tu but daaah hawako romantic kabisaa
Kivipi dadaa,embu fafanuaEti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?