Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
- Thread starter
- #41
Kimuonekano wako vizuri ila hawako romantic kabisaaaaaaaaaaaaaa
Try me hutojuta nb:mimi sio mchagga ila wanaume wote tupo romantic haijalishi kabilaEti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?
Hili game halitaki hasirahahahahahaha amekugusa nini mkuuu
mwambie unatafuta pesa
Very proud kwa sababu wanajali mno familia zaoHii Mbegu inayafutwa kwa udi na uvumba mwanaume Wa kichaga,nashangaa unawaponda !...wasichana huona fahari sana kusema wameolewa na mwanaume Wa kichaga...sijui kwnn nakushangaa ww
wapi hasira imeonyeshwa mkuuuuuuuuuuuuuuHili game halitaki hasira
Ndio nini hiyo romantic???Eti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?
ahahahahahah ndo maana wakasema wachaga ni tabuuuuuMimi ni mchaga na nimeachwa eti sijui mapenzi. Nikauliza mbona watoto ninao na wanafanana na mimi. Hiyo romantic inauzwa duka gani?
Nini kimekuchekesha mtani??😀😀😀😀😀😀😀 hii siledi, ngoja nicheke kwa sauti hawa ni watani zangu hawawezi kunishitaki eti kwa kuwa nimewacheka hahahhahahhaha
Joseverest, Asprin, eden kimario Mr. MTUI Mangi flani hivi MENGELENI KWETU
😛😛😛😛😛😛😛
Ulijaribu wangapi mpaka ukafikisha hitimisho?Eti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?
Unakosea, sio kwelEti waungwana hivi ni kwa nini wanaume wa kichaga hawako romantic kabisaaaa?