chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,724
Hapa mtaani kuna madoni kama watatu.
Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja.
Doni wa pili alipata mke ambaye ni kicheche mtaa mzima alipotoka kwao wamejishindia amri ya sita.
Doni wa tatu alipata mke baada mwanamke huyo kashaolewa na kuachwa bado kidogo kuharibu kitabu cha bakwata kwa jina lake kuandikwa sana.
Tuje hapa kwa sisi wanaume sitaki kuzungumza wenye pesa zao.
wingine humu wapenzi wenu na wake zenu mliwapenda kama hiki kitabu.