Kwanini vitabu vingi vinasema "Ogopeni wanawake"?

Amani Dimile

JF-Expert Member
Jul 27, 2022
243
395
Samahanini naomba mnijibu baadhi ya maswali yangu;

Ni kwanini vitabu vingi vinasema "Ogopeni wanawake"? Au kwanini katika dunia ya sasa watu wengi mashuhuri na hata wasio mashuhuri wanaume hutangulia kufa na wake zao hubaki duniani?

Kwanin suala la usaliti na uongo kwenye hadithi nyingi za kiimani na zisizo za kiimani linawalenga wanawake?

Kwanini sasa nyimbo nyingi zinaimbwa zikisema, "Kama kusingekuwa na wanawake kusingekuwa na maumivu au kilio"?

Naombeni tafadhali msininukuu vibaya. Sipo hapa kukandamiza jambo lolote au kuonesha ubaya wa nadharia yoyote ile. Ila nipo hapa kuwakumbusha tu baadhi ya wanaojielewa kuwa, ogopa sana wanawake!

Ulimi wa chui ni ulimi mkali sana, una meno sugu kama meno ya msumeno. Ulimi wa chui ni mkali kiasi kwamba unaweza ukachuna rangi iliyopakwa ukutani, lakini licha ya ulimi wa chui kuwa mkali ila unashika namba mbili namba moja ni ulimi wa mwanamke. Fear women.

Mnasema tajiri wa rangi kinyonga, vipi kama nikiwaambia mnakosea. Huenda tajiri wa rangi ni Mwanamke. Sababu anaweza akawaza tofauti, akatenda tofauti na kunena tofauti. Fear women.

Au basi, tusiende mbali kwani hamfahamu kwamba asilimia 67 ya vifo vya wanandoa vinatokana na wanawake? Kaa kimya nikukumbushe, habari za wanaume ambao baada ya hasira ya mabaya wanayotendewa na wake zao huamua kuwaua na kisha kujiua wao. Japo si njia sahihi ya kutatua migogoro ila fear women.

Fear women kaka, usijiaminishe sana mbele yake na kumuamini asilimia 100. Usijiwekee mategemeo makubwa mbele yake utakuja kulia vibaya, wewe huna nguvu kumzidi Samsoni.

Fear Women kaka, sababu kitabu cha wanawake wanataka nini maishani waridhike bado hakijatoka kwani mwandishi kaandika vitu vyao vyote ila bado hajamaliza ni kikubwa mno na kina mahitaji mengi acha. Fanya kadri ya uwezo wako shukrani za hao viumbe usizikalie kitako.

Fear women kaka, wanawake wanaongoza hii dunia. Huwezi kuwa mjanja kuwazidi ila una uwezo wa kuwa na akili ya kupambanua unayoyafanya mbele yao.

Mimi nimejitolea kuongea hili, hata nichukiwe ila nawaambia ndugu zangu wanaume fear women. Hata mnikamate mniue na kunigaragaza, mnitukane na kunisimanga ila kauli yangu ya mwisho ni fear women.

Fear
women, Fear women

Amani Dimile

#amanidimile #fearwoman #misemo_ya_hekima #tungomaridadi #hekimayadimile #fikrazadimile
IMG-20231015-WA0002_1.jpg
 
Jibu ni moja tu....
Ishi nae kwa akili
Yaani wewe kama mwanaume unapaswa uwe na uwezo wa kufikiri much ahead than your woman..😊
Hata mwanamke mwenye akili anapenda apate mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yake, and that's nature...🤗
Yaani mwanamke ahata akiwa President, anajiskia amani sana kama anamwanaume ambae anampa solutions katika kila jambo anali liuliza..🙂
 
Kwahiyo samahanini naomba mnijibu baadhi ya maswali yangu.

Kwahiyo ni kwanini vitabu vinasema "Ogopeni wanawake" .

Au kwanini katika dunia ya sasa watu wengi mashuhuri na hata wasio mashuhuri wanaume hutangulia kufa na wake zao hubaki duniani ??

Kwanin suala la usaliti na uongo kwenye hadithi nyingi za kiimani na zisizo za kiimani linawalenga wanawake??

Kwanini sasa nyimbo nyingi zinaimbwa zikisema "kama kusingekuwa na wanawake kusingekuwa na maumivu au kilio"

Basi basi basi, naombeni tafadhali msininukuu vibaya. Sipo hapa kukandamiza jambo lolote au kuonesha ubaya wa nadharia yoyote ile. Ila nipo hapa kuwakumbusha tu baadhi ya wanaojielewa kuwa OGOPA SANA WANAWAKE.

Ulimi wa chui ni ulimi mkali sana, una meno sugu kama meno ya msumeno. Ulimi wa chui ni mkali kiasi kwamba unaweza ukachuna rangi iliyopakwa ukutani. Lakini licha ya ulimi wa chui kuwa mkali ila unashika namba mbili namba moja ni ulimi wa mwanamke. FEAR WOMAN

Mnasema tajiri wa rangi kinyonga vipi kama nikiwaambia mnakosea. Huenda tajiri wa rangi ni Mwanamke. Sababu anaweza akawaza tofauti, akatenda tofauti na kunena tofauti. FEAR WOMAN

Au basi, tusiende mbali kwani hamfahamu kwamba asilimia 67 ya vifo vya wanandoa vinatokana na wanawake. Kaa kimya nikukumbushe, nikukumbushe tu habari za wanaume ambao baada ya hasira ya mabaya wanayotendewa na wake zao huamua kuwaua na kisha kujiua wao. Japo si njia sahihi ya kutatua migogoro ila FEAR WOMAN

FEAR WOMAN kaka, usijiaminishe sana mbele yake na kumuamini asilimia 100. Usijiwekee mategemeo makubwa mbele yake utakuja kulia vibaya, wewe huna nguvu kumzidi Samsoni.

FEAR WOMAN kaka, sababu kitabu cha wanawake wanataka nini maishani waridhike bado hakijatoka kwani muandishi kaandika vitu vyao vyote ila bado hajamaliza ni kikubwa mno na kina mahitaji mengi acha. Fanya kadri ya uwezo wako shukrani za hao viumbe usizikalie kitako.

FEAR WOMAN kaka, wanawake wanaongoza hii dunia. Huwezi kuwa mjanja kuwazidi ila una uwezo wa kuwa na akili ya kupambanua unayoyafanya mbele yao.

Mimi nimejitolea kuongea hili, hata nichukiwe ila nawaambia ndugu zangu wanaume FEAR WOMAN. Hata mnikamate mniue na kunigaragaza, mnitukane na kunisimanga ila kauli yangu ya mwisho ni FEAR WOMAN

FEAR WOMAN FEAR WOMAN

AMANI DIMILE

#amanidimile #fearwoman #misemo_ya_hekima #tungomaridadi #hekimayadimile #fikrazadimileView attachment 2782538
Upo sahihi
Binafsi kubali kuitwa BAHILI pesa kumpa Mwanamke ambaye sio Mama yako haifai
 
Jibu ni moja tu....
Ishi nae kwa akili
Yaani wewe kama mwanaume unapaswa uwe na uwezo wa kufikiri much ahead than your woman..😊
Hata mwanamke mwenye akili anapenda apate mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yake, and that's nature...🤗
Yaani mwanamke ahata akiwa President, anajiskia amani sana kama anamwanaume ambae anampa solutions katika kila jambo anali liuliza..🙂
umemaliza..ila ajabu wanaume wengi mmejisahau sana
 
Upo sahihi
Binafsi kubali kuitwa BAHILI pesa kumpa Mwanamke ambaye sio Mama yako haifai
Ngoja nikuambie jambo kijana......
Mpe mke wako pesa, pia mpe binti yako pesa.
Kinyume cha hapo, utatengeneza nafasi (ufa) kwa mwanamke wako na binti yako kupewa pesa na mwanaume mwingine.
Mwisho lazima utakuja kuanzisha uzi wa kuomba ushauri hapa..🤗
 
Jibu ni moja tu....
Ishi nae kwa akili
Yaani wewe kama mwanaume unapaswa uwe na uwezo wa kufikiri much ahead than your woman..
Hata mwanamke mwenye akili anapenda apate mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi yake, and that's nature...
Yaani mwanamke ahata akiwa President, anajiskia amani sana kama anamwanaume ambae anampa solutions katika kila jambo anali liuliza..
Upo sahihi na hayo maneno yapo kwenye kitabu cha John Gray kinaitwa Men are from Mars Women are from Venus
 
Back
Top Bottom