Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,210
- 40,652
Umeona eeSio kweli
Asee, sasa mimi mbona baada ya kupata mchepuko naona afya imeimarika maradufu?Michepuko
Mnatumia nguvu nyingi sana kwenye hiyo michepuko yenu....ila kule kwetu n kinyume chake mwanamke akiolewa anakonda mwanaume akioa anapendezaAsee, sasa mimi mbona baada ya kupata mchepuko naona afya imeimarika maradufu?
Ndo maana mnakufaUtafiti uliofanywa na Ljungberg Kluivert Reasearch Center na Hu Ah Wei Statistics Bureau ulionyesha kua kwa wastani kabla ya ndoa mwanaume hutoa lita moja ya manii kwa wiki mbili.
Baada ya ndoa hutoa lita kumi (ndoo ndogo) ya manii kwa wiki mbili.
Go figure.
Ila wanawake wanakonda maana majukumu yanakuwa 100 na kidogoMada za jf zinazohusu ndoa nyingi zipo negative tofauti na uhalisia..binafsi wakaka wengi ninaowafahamu wamependeza na kuvutia baada ya kuoa.
Hiyo ilikua enzi zetu mshiki, saivi kijana akioa huku kijijini akienda na mkewe mjini akirudi baada ya miezi sita mke unakuta amenona si mchezo.Mnatumia nguvu nyingi sana kwenye hiyo michepuko yenu....ila kule kwetu n kinyume chake mwanamke akiolewa anakonda mwanaume akioa anapendeza
Labda waende mjini maana wakibaki kule maskan mwanamke anakuwa mgumu kuliko hata mwanaume kwa sababu ya kazi na majukumu ya malezi ...kama kwenda shamban kule n kazi ya wanawake wanaume wanasema hawawez kulimaHiyo ilikua enzi zetu mshiki, saivi kijana akioa huku kijijini akienda na mkewe mjini akirudi baada ya miezi sita mke unakuta amenona si mchezo.
Halafu msasha kule wamama sahivi wamekuwa wajanja hawakubali kubaki tena nyumbani mume akienda mjini na wao wapo nyumaHiyo ilikua enzi zetu mshiki, saivi kijana akioa huku kijijini akienda na mkewe mjini akirudi baada ya miezi sita mke unakuta amenona si mchezo.
Hahahaha, wanajitetea na 50/50 kumbe wanakwepa kushinda kwenye migomba na kahawa.Halafu msasha kule wamama sahivi wamekuwa wajanja hawakubali kubaki tena nyumbani mume akienda mjini na wao wapo nyuma