Kwanini wanaume tunafurahi maanguko ya wanaume wenzetu?

Tabia za watu wa Sinza katika uhalisia wake, hasa vijana waishio eneo hilo kwa ujumla.
Duh! Kumbe ndiyo zao? Kwamba wanafurahi mno wakiona mwanaume anadhulumiwa kwa namna moja ama nyingine siyo?
 
Mwanaume kamili hawezi kufurahia anguko la mwanaume mwezake iwe kwa namna yeyote ile. Wavulana tuu ndiyo wanaofanya hivyo
 
Siyo wavulana. Ni wanaume waliokosa malezi ya baba zao... wengi ukifuatilia wamelelewa na single mothers.!

Hata mwanaume mwenzio akiwa anajiona akaanguka, hutakiwi kucheka wazi wazi eti kiko wapi! Huzuni sana
 
Duh! Kumbe ndiyo zao? Kwamba wanafurahi mno wakiona mwanaume anadhulumiwa kwa namna moja ama nyingine siyo?
Wengi ni umbea na kupaisha matajiri uchwara wenye vibebi-worker huku wakisubiri anguko zao kwa hamu wawachafue, pia madalali wanaeneza sana umbea maeneo hayo, kutwa vijiweni kuchunguza maisha ya watu na kutengeneza maneno chonganishi! Kwa kifupi kuna mfumo fulani wa ajabu ajabu wa vijana wengi wenye tabia za namna hiyo, wengine wanaishi kwa staili hii wapate hela ya kuvimba kitambaa, completely pathetic behavior! Ku-demonise watu ndio taaluma yao!
 
Nakucheka hadi sio poa,, ila ukitaka msaada I'll move heaven and earth to help a brother out
 
Nilikuwa nakula chakula ghafla zikaja kumbukumbu mbaya za vicheko na maneno ya kejeli ya "Hahaha... kanyooshwa", "Kwisha habari yake 'bwege' yule...", "Mshamba tu chezea wanawake wewe", "Usicheze na mwanamke jamaa kashawahishwa (akimalizia na emoj za kucheka)", "Jamaa lina kib... lile (akimalizia na emoj za kumcheka mwanaume mwenzake).

Nikaona nisiendelee kula acha niliseme hili, this should come to an end. Zamani tulisema wanawake hawapendani, siku hizi wanawake wanasema wanaume hatupendani.

Jamani, kwamba meza ndiyo imepinduka kwa dk chache hivyo? Hapana sitaki kuamini.

Zaidi ya nyuzi 100+ tofauti zihusuzo visa vya wanaume kudhulumiwa, kufilisiwa au kufanyiwa uhuni na wanawake humu ndani, zote kuna zaidi ya 98+% wanaume wakishangilia maanguko ya wanaume wenzao.

Achana na nyuzi nyingine za hapa na pale. Hii si sawa.

Unapata faida gani kwa kushangilia mwanaume mwenzio anapodhulumiwa na mwanamke? Unafaidika na mgao?

Wanawake wamekuwa na utu na wanapendana mno kiukweli. Umebaki msemo wa mdomoni tu kuwa hawapendani. Ila kiuhalisia wanajaliana mno.

Leo hii hata mitaani tu, mwanaume akifanyiwa uhuni hata kwa kuonewa, midume na ndevu zao kabisa inakimbilia kucheka na kutangaza aibu za mwanaume mwenzao.

Wanaume ndiyo tumefika hapa?

Nawalenga wanaume wenye tabia hizi ambao wamejaa sana JF na as days go on wanazidi kuongezeka kwa kasi. Kwenye kila post ya mwanaume kudhulumiwa au kufanyiwa uhuni iwe na mke au mwanamke, utakuta zinajichatisha emoj's za kucheka, mpaka unabaki na maswali, why this? Are these really the humans?

Wanazitag wenzao wanasaidiana kucheka kwenye nyuzi za huzuni za wanaume wenzao. Hii ifike mwisho!
Hao unaowazungumzia sio wanaume kamili, wanaume kamili hawaishi hivyo, na wanapeana support kwenye mambo ya msingi kwa dhati kabisa, hao SIMPS unatakiwa kukaa nao mbali na hata hutakiwi kuwadiscuss kabisa, it is a wastage of your time, tumia muda wako kuangalia jinsi gani utaimprove your life and value Yako katika jamii "practice quality people around you", watu wanaokuzunguka wana role kubwa sana kwenye mafanikio Yako.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu! Bad enough wapo humu humu JF wengi wao...!
 
Nilikuwa nakula chakula ghafla zikaja kumbukumbu mbaya za vicheko na maneno ya kejeli ya "Hahaha... kanyooshwa", "Kwisha habari yake 'bwege' yule...", "Mshamba tu chezea wanawake wewe", "Usicheze na mwanamke jamaa kashawahishwa (akimalizia na emoj za kucheka)", "Jamaa lina kib... lile (akimalizia na emoj za kumcheka mwanaume mwenzake).

Nikaona nisiendelee kula acha niliseme hili, this should come to an end. Zamani tulisema wanawake hawapendani, siku hizi wanawake wanasema wanaume hatupendani.

Jamani, kwamba meza ndiyo imepinduka kwa dk chache hivyo? Hapana sitaki kuamini.

Zaidi ya nyuzi 100+ tofauti zihusuzo visa vya wanaume kudhulumiwa, kufilisiwa au kufanyiwa uhuni na wanawake humu ndani, zote kuna zaidi ya 98+% wanaume wakishangilia maanguko ya wanaume wenzao.

Achana na nyuzi nyingine za hapa na pale. Hii si sawa.

Unapata faida gani kwa kushangilia mwanaume mwenzio anapodhulumiwa na mwanamke? Unafaidika na mgao?

Wanawake wamekuwa na utu na wanapendana mno kiukweli. Umebaki msemo wa mdomoni tu kuwa hawapendani. Ila kiuhalisia wanajaliana mno.

Leo hii hata mitaani tu, mwanaume akifanyiwa uhuni hata kwa kuonewa, midume na ndevu zao kabisa inakimbilia kucheka na kutangaza aibu za mwanaume mwenzao.

Wanaume ndiyo tumefika hapa?

Nawalenga wanaume wenye tabia hizi ambao wamejaa sana JF na as days go on wanazidi kuongezeka kwa kasi. Kwenye kila post ya mwanaume kudhulumiwa au kufanyiwa uhuni iwe na mke au mwanamke, utakuta zinajichatisha emoj's za kucheka, mpaka unabaki na maswali, why this? Are these really the humans?

Wanazitag wenzao wanasaidiana kucheka kwenye nyuzi za huzuni za wanaume wenzao. Hii ifike mwisho!
Maisha hayapo fair kabisa.Kuhusu kupendana,kuchukiana au kuzungukana hilo lisikusumbue akili yako.Hayo yote huongozwa na asili au instincts za mtu hadi mwingine.
HALAFU:Ni kwa nini ubabaishwe na kufura kwa kuona tu emojs?Are you that much insecured,boss?Yaani emojs kama hizi 😂😂😂😂😂 ambazo hazina meno ya chini ndiyo zinakuudhi?Are you serious to that extent,boss?
 
Mwanaume kamili hawezi kufurahia anguko la mwanaume mwezake iwe kwa namna yeyote ile. Wavulana tuu ndiyo wanaofanya hivyo
Hivi,unapoandika "mwanaume hawezi kufurahia anguko la mwanaume mwenzie" huwa mnawaza kuishia puani au miguuni mwenu?Au huwa mnawaza vijimambo vyenu vya kitaa tu.Putin anaweza kufurahia Vlodomir Zelensky kushinda Vita ya Ukraine?
 
Maisha hayapo fair kabisa.Kuhusu kupendana,kuchukiana au kuzungukana hilo lisikusumbue akili yako.Hayo yote huongozwa na asili au instincts za mtu hadi mwingine.
HALAFU:Ni kwa nini ubabaishwe na kufura kwa kuona tu emojs?Are you that much insecured,boss?Yaani emojs kama hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ambazo hazina meno ya chini ndiyo zinakuudhi?Are you serious to that extent,boss?
Yes I am...! As I realize that their emoji(s) intend to tease and mock on the downfall of the dude.
 
Kuna kucheka na kufurahia... kuna kucheka kwa kufurahia pia. Wenye akili tuna judge moja kwa moja wewe ni 'mchawi, snitch, siyo mwana'. How comes ufurahie downfall ya mwanaume mwenzako tena mwenye familia?
Afrika hasa Bongo, kuna kitu kinaitw ''kutesa''. Kwa kuwa tunaishi kwenye lindi la ufukara, mara nyingi mtu anapopata upigaji au kwa juhudu zake akafanikiwa, huwa anafanya kitu kinachoitwa ''kutesa''. Atachukuwa wanawake wazuri wazuri, ataendesha magari mazuri, ataongea maneno ya kujisifu, atakuwa na mikogo yote inayoonyesha kuwa ''mimi siyo mwenzenu''. Mtu wa aina hii anapoanguka unadhani wale waliokuwa wanafanyiwa yote haya watasikitika?
 
Kuna uzi nilianzisha humu kama miaka mitatu nyuma unasema. Kauli ya wanawake hawapendani ni nadharia tu ila uhalisia wanaume hatupendani. Fikiria kitu kimoja. Wanaoendesha magari tanzania ni zaidi ya 90% ni wanaume. Lakini wanaoongoza kutembea umbali mrefu wakikosa nauli asilimia zaidi ya 90 ni wanaume. Yaani mwanaume hawezi mpa lifti mwanaume mwenzie ila tu atajaza wanawake mpaka gari ikose pa kukaa. Ila mwamke mmoja tu akiwa na gari atajaza wanawake wenzie wanaoonekana kuelemewa na safari mfano wenye watoto, wenye mimba nk
 
Nilikuwa nakula chakula ghafla zikaja kumbukumbu mbaya za vicheko na maneno ya kejeli ya "Hahaha... kanyooshwa", "Kwisha habari yake 'bwege' yule...", "Mshamba tu chezea wanawake wewe", "Usicheze na mwanamke jamaa kashawahishwa (akimalizia na emoj za kucheka)", "Jamaa lina kib... lile (akimalizia na emoj za kumcheka mwanaume mwenzake).

Nikaona nisiendelee kula acha niliseme hili, this should come to an end. Zamani tulisema wanawake hawapendani, siku hizi wanawake wanasema wanaume hatupendani.

Jamani, kwamba meza ndiyo imepinduka kwa dk chache hivyo? Hapana sitaki kuamini.

Zaidi ya nyuzi 100+ tofauti zihusuzo visa vya wanaume kudhulumiwa, kufilisiwa au kufanyiwa uhuni na wanawake humu ndani, zote kuna zaidi ya 98+% wanaume wakishangilia maanguko ya wanaume wenzao.

Achana na nyuzi nyingine za hapa na pale. Hii si sawa.

Unapata faida gani kwa kushangilia mwanaume mwenzio anapodhulumiwa na mwanamke? Unafaidika na mgao?

Wanawake wamekuwa na utu na wanapendana mno kiukweli. Umebaki msemo wa mdomoni tu kuwa hawapendani. Ila kiuhalisia wanajaliana mno.

Leo hii hata mitaani tu, mwanaume akifanyiwa uhuni hata kwa kuonewa, midume na ndevu zao kabisa inakimbilia kucheka na kutangaza aibu za mwanaume mwenzao.

Wanaume ndiyo tumefika hapa?

Nawalenga wanaume wenye tabia hizi ambao wamejaa sana JF na as days go on wanazidi kuongezeka kwa kasi. Kwenye kila post ya mwanaume kudhulumiwa au kufanyiwa uhuni iwe na mke au mwanamke, utakuta zinajichatisha emoj's za kucheka, mpaka unabaki na maswali, why this? Are these really the humans?

Wanazitag wenzao wanasaidiana kucheka kwenye nyuzi za huzuni za wanaume wenzao. Hii ifike mwisho!
Sasa huku tulipofika ni mbali mno mkuu Uzi huu umeenda🤙
 
Back
Top Bottom