Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
Tabia hizo ni kama zipi chief kumbuka naww ni mwanaume😂Nachukizwa mno na wanaume wenye tabia za kijinga kijinga!.
Tabia hizo ni kama zipi chief kumbuka naww ni mwanaume😂Nachukizwa mno na wanaume wenye tabia za kijinga kijinga!.
Soma uzi wangu, nimezieleza.Tabia hizo ni kama zipi chief kumbuka naww ni mwanaume[emoji23]
Mkuu! Mimi siongelei hao wanaokucheka na kukusaidia. Hao ni waungwana.Labda wewe ni mgeni na culture ya kiume. Unazungumzia kufeli, kuna ile umeanguka umeumia halafu washkaji wanacheka kwanza kabla ya kukusaidia.
Kwa wanaume majanga its part of fun. Ushawahi kwenda Jeshini au ushawahi sikia story za vitani its how boys handle pain by laughing it all out and then pick up what is left na kumove on with life together.
Wanapokucheka hawamaanishi kuwa wanafurahia anguko lako bali wanacheka because its funny how ulihisi unapatia then ukakosea. So stop getting emotional about it and seek sympathy, why don't u find energy to do it again.
Sawa na ukumbuke pia mzee wako ni mwanaume 😂😂Soma uzi wangu, nimezieleza.
Yeah. Hata wewe pia nakumbuka ni mwanaume...[emoji1]Sawa na ukumbuke pia mzee wako ni mwanaume [emoji23][emoji23]