Kwanini wanapenda kusema Katiba yetu ni nzuri?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Wapo watu hasa Wazee wa Taifa leetu ukiwahoji kuhusu katiba yetu utasikia Katiba yetu ni nzuri Sana, ningependa kujua uzuri wa hii katiba Ni madaraka iliyokabidhi kwa viongozi au ni madaraka iliyokabidhi kwa wananchi?
 
Kulingana na hii Katiba hao Wazee wana Kinga, kwa hiyo ni nzuri kwao
 
Back
Top Bottom