mi katbu naandka hoja
Wakuu habar za w,keend
Leo naomba kuuliza wanandoa waliopo humu, hata wale ambao bado mabaharia mnakalibishwa sna maana nyie ndo wahanga wakubwa wa hili swala mwanzon mnakua na mapenzi makubwa kwa wenza wenu lakin baadae mambo yanaharibika,
Kwann wakati wa mwanzo wa mahusiano mnakua very romantic mpaka mnapelekea ndoa na baada ya ndoa wengine hata mwaka hujaisha wameshaanza mipango ya kando na wanabadilika kabisaaa mapenz hakuna yaan (WANABAKANA) kwenye ndoa zao, hao hao wanandoa kila mmoja akipata mchepuko nje, anapartcipatate vzr lakin akija kwa mumewe au mkewe wanaishi kama wazee,
Hakuna mahaba hata text tu, huwezi kuta wanandoa wanachat mambo ya mapenz sana sana ni inshu muhimu tu, hakuna hata nakupenda mpz, au miss u, love u nk, hakuna hizo zitu zilishaishaga
Ndo maana wanawake wanajitahid kutafuta makungwi na kujiunga kwenye magroup ya wasap wanafundishwa namna na kumshika mwanaume akupende, na mwanaume nao wako bize kushinda kwenye mitandao ya kijamii kutafuta company na marafik wa kike.
Yaana upendo umepoa kabisaa Yale malovee hakuna kabisa kwenye ndoa zetu, kabla hamjaoana mlikua mnapeana raha mnaridhishana lakin baada ya mwaka mnabaniana unyumba au unapewa kwa mashart huku mkishindwa kuridhishana shida nn hapo wakuu...
Wakuu najua wengi wapo humu na wahanga wa hili tatizo je shida ni nn, tunaomba mwanaume zetu mfunguke kero zenu na wanawake wenzangu mfunguke Kero zenu ili 2020 tujenge familia bora,
Ndoa bila usaliti, inawezekana. Karibuni
Sent using
Jamii Forums mobile app