Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Wanaogopa kuonekana lovbt zao ama??
kabla ya hapo walikuwa wanasuguana hadi migongo wapendwa nakwambia wewe usieolewa kuwa makini
usipokemea haya yanakuja na kwako...leo hii ati baada ya miezi sita mke anaona mgongo wa mumewe anasema
hny mbona mgongo mchafu hivi.......hizi ni roho muwe nazo makini sana ni bora msijaribu kitu mnachojua amuwezi kuendelea nacho
kuna mmoja alidai ati nimeogopa mumewangu akiniona tumbo langu kubwa baada ya kuzaaa shameeee shameeee
Hii ni kwangu nakwambia na aijatokea kwako tu...mama didy nae alitaka leta hii habari...nikakaa kimya nikamwita
nikamwambia unajua hili tumbo liko hivi sababu yangu....hii mistari ni sababu yangu so nipe muda niangalie tunafanyaje kuanzia kesho nakuitaji asbh bafuni akuna wakunisugua na ujinga sitaki
tukatafuta jamaa wakatupa mafuta na limkanda limoja akishauriwa na mazoezi leo hii shwari kabisa
Mkuu hata kuongea una ongea hivi au tatizo liko kwenye kuandika?! Maana ni kazi sana kukuelewa unapoandika thread zako. Au ndio swaga zako kama vijana wanavyosema?