Kwanini wanandoa wakifumaniwa mwanamke hapigwi?

Ni ufinyu wa akili kupanga kabisa kuwa unaenda kufumania. Siko kwenye taasisi ya ndoa hivo sisemi sana............. ila iwapo ningekuwa kwenye ndoa whether mume wangu angekuwa anazini na kuwa na nyumba ndogo hata 20 hata siku moja nisingepanga kwenda kumfumania ati hotelini au guest au kwenye gari au kazini.

Sana sana ningekuwa busy kujifunza lugha mbali mbali za dunia hii mfano kireno, kispaniola, ki Italy, kifaransa, pia ningekuwa busy zaidi kujifunza lugha za makabila zaidi ya 30 ya Tanzania mfano kingoni, kiha, kisandawe, kimasai, kimakonde, kihaya. ... yaani ningekuwa boonge ya linguistic halafu hayo mawazo ya kufumania mume yangetoka wapi......

Hahahahahhaa crazy Kasie ndo maana sikupangiwa kuingia kwenye hiyo taasisi ya kufumaniana maana wangesema nimewehuka kwa jinsi ambavyo ninge behave.

Kasie.
Hayajakukuta bado. Ukichanikiwa ndio utajua kushona
 
Me mke wangu akiwa anakuja kazini anakuwa na semosi ya maji moto ili akimkuta mchepuko amuogeshe wenzangu wanajua naletewa chai kumbe maji moto hayana ht majani
Tushukuru Mungu. Huyo safi sana.

Kwenye mada...
Nadhani umeuchukulia poa msemo wa "utakula kwa jasho" tafakari.

Wanaosema watadili na mwanamke wanajidanganya. Uchungu wa mke sio wa king'asti unajua. Hii sekta nyingine. Unawekeza maisha kwa mtu halafu anagawa tu kiroho safi. Yataka moyo!
 
Ukitaka mwanamke aliyefumaniwa apate kichapo, afumaniwe na mwenye mme, yaani mke ndo awafume, wanakulaga kichapo kizuri tu! Mwanaume unashughulika na mwanaume hadharani kisha baadae in private unashughulika na mwanamke.
 
Kwasababu only a coward would beat a woman.

Mwanamke hapigwi... Iwe kafumaniwa au hajafumaniwa
 
kwa nini asipigwe nae si katenda kosa? mkuu na wasiwasi na uelewa wa ubongo wako. kwa hiyo hata binti yako akitenda makosa hutamchapa kisa nimwanamke?
 
Ni ufinyu wa akili kupanga kabisa kuwa unaenda kufumania. Siko kwenye taasisi ya ndoa hivo sisemi sana............. ila iwapo ningekuwa kwenye ndoa whether mume wangu angekuwa anazini na kuwa na nyumba ndogo hata 20 hata siku moja nisingepanga kwenda kumfumania ati hotelini au guest au kwenye gari au kazini.

Sana sana ningekuwa busy kujifunza lugha mbali mbali za dunia hii mfano kireno, kispaniola, ki Italy, kifaransa, pia ningekuwa busy zaidi kujifunza lugha za makabila zaidi ya 30 ya Tanzania mfano kingoni, kiha, kisandawe, kimasai, kimakonde, kihaya. ... yaani ningekuwa boonge ya linguistic halafu hayo mawazo ya kufumania mume yangetoka wapi......

Hahahahahhaa crazy Kasie ndo maana sikupangiwa kuingia kwenye hiyo taasisi ya kufumaniana maana wangesema nimewehuka kwa jinsi ambavyo ninge behave.

Kasie.
Mashudu
 
Ukitaka mwanamke aliyefumaniwa apate kichapo, afumaniwe na mwenye mme, yaani mke ndo awafume, wanakulaga kichapo kizuri tu! Mwanaume unashughulika na mwanaume hadharani kisha baadae in private unashughulika na mwanamke.
hapo kwenye bold mkuu sijakuelewa
 
Kwasababu only a coward would beat a woman.

Mwanamke hapigwi... Iwe kafumaniwa au hajafumaniwa
we kweli mjinga ila kama nakosea nisamehe. na wewe hujawahi kupigwa au kuona mwanaume anashushiwa kisago na mwanamke. ila mimi sijapigwa tafadhal
 
Tushukuru Mungu. Huyo safi sana.

Kwenye mada...
Nadhani umeuchukulia poa msemo wa "utakula kwa jasho" tafakari.

Wanaosema watadili na mwanamke wanajidanganya. Uchungu wa mke sio wa king'asti unajua. Hii sekta nyingine. Unawekeza maisha kwa mtu halafu anagawa tu kiroho safi. Yataka moyo!
sasa huo uchungu ndo utanifanya huyo mpe nimuingize kwenye jeneza kabisa
 
Back
Top Bottom