na vipi huyo mwanamke anaemtamanisha na kumtega mwanaume hadi kufikia stage ya kumshawishi amtongoze?Adundwe tu mwanaume kazi yake Ni kutongoza so atakuwa kamtongoza mwanamke Adundwe tu
pamoja mkuuKi uhalisia... anayepaswa kuadhibiwa ni huyo mwenza wako... Yeye ndiyo jukumu la kukataa kwa sababu anajua yupo na wewe... mpaka anaenda kuvua mtu chupi au kuvuliwa.. maana yake kwa njia moja au nyingine kakukana...
inapendeza sana kama huwa unatoa majibu ya moja kwa moja na sio methali zako zisizokua na maanaKuna vitu vimelengwa kwa watu maalum vikikupita basi unanawa unalala.
wote wana makosaNadhani hamna anayestahili kuoigwa! Sheria zipo na zifuatwe!
sana mkuu pamojaMke asiekuwa na msimamo atachepuka tuuu kuna wanawake wanapewa kila kitu but wanatom***sha pussy
omba Mungu usikutane na wanaume wenye uchu kama mimi nakwambia ntakuingiza kwenye jeneza soonMwanamke hapigwi
Wake wakifuania inakuwaje? Kama sikosei haka kautaratibu kiwesemwa kwenye Biblia, na bado kapo mashariki ya kati kama sikosei!Asilimia 97% kwa ulewa wangu wa mafumanizi yote niliyoyaona mwanamke huwa hapigwi mwanaume ndo wa kupiga.
sasa kama wote wana makosa kwanini wasivunwe pengine hata mwanamke achomwe moto sababu wao ndo wenye vishawishi katika mapenzi?
nachukia sana kuona midume inajisifu eti imepata mgoni na bila kujali wanamtembeza mwanaume
mwenzao uchi wanamchapa viboko na huku fimbo na p*vinaning'inia na wakati huyo mwanaume anamtambulisha yeye. hii ni akili au matope?
hivi hamjui hapo wake zenu ndio wanatega mitego ya kuwanasa wanaume, na kama mwanamke anakupenda kweli hatodhubutu kukusaliti lazima roho yake itamsuta tuu.
kwa kweli nimesema nikibamba fumanizi mahali lazima mwaamke na mwanaume kwa pamoja waadhibiwe haki itendeke, na kiukweli ikitokea mwanamke nitamuadhibu sana maana ninaamini wao ndio chanzo cha sisi kuwafata.
mwisho what goes up must come down.
Omba Mungu usikutane na mwanamke mjeda kama mie, utahitaji security hadi chumbaniomba Mungu usikutane na wanaume wenye uchu kama mimi nakwambia ntakuingiza kwenye jeneza soon
Basi njoo kingi nikufundishe Kisandaswe au vipi? maana naona unaleteta taaluma butu.Ni ufinyu wa akili kupanga kabisa kuwa unaenda kufumania. Siko kwenye taasisi ya ndoa hivo sisemi sana............. ila iwapo ningekuwa kwenye ndoa whether mume wangu angekuwa anazini na kuwa na nyumba ndogo hata 20 hata siku moja nisingepanga kwenda kumfumania ati hotelini au guest au kwenye gari au kazini.
Sana sana ningekuwa busy kujifunza lugha mbali mbali za dunia hii mfano kireno, kispaniola, ki Italy, kifaransa, pia ningekuwa busy zaidi kujifunza lugha za makabila zaidi ya 30 ya Tanzania mfano kingoni, kiha, kisandawe, kimasai, kimakonde, kihaya. ... yaani ningekuwa boonge ya linguistic halafu hayo mawazo ya kufumania mume yangetoka wapi......
Hahahahahhaa crazy Kasie ndo maana sikupangiwa kuingia kwenye hiyo taasisi ya kufumaniana maana wangesema nimewehuka kwa jinsi ambavyo ninge behave.
Kasie.
Aaah Mjeda sijui mchawi,ya nini kuleta tisha toto?,kama mme wako kicheche wewe kama mwanamke utafanya nini?.Omba Mungu usikutane na mwanamke mjeda kama mie, utahitaji security hadi chumbani
inapendeza sana kama huwa unatoa majibu ya moja kwa moja na sio methali zako zisizokua na maana
Basi njoo kingi nikufundishe Kisandaswe au vipi? maana naona unaleteta taaluma butu.
itakua poa sana maana utanilinda ila na weee usit..bwe nje basi hapo tutaenda sawaOmba Mungu usikutane na mwanamke mjeda kama mie, utahitaji security hadi chumbani
hiyo avatar ni picha yako?Ooh methali. .... unamaanisha hii....
"Asiyejua maana haambiwi maana"
Okii dokie 🙂