PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,573
- 9,080
Duuhnilipenda fumanizi moja lilitokea huko tanga kwani mwnaume na mwanamke waliadhibiwa wote na la majuzi lilitokea mbeya nakumbuka yule mwanaume aliechapiwa mke aliwamwagia kemikali wote kama sijakosea na yeye kama vipi alijimwagia ili kuepuka karaha za ulimwengo. ila hakufanya poa kujilipua ila nampongeza kwa kitendo cha kishujaa kuwamaliza wote. hio moja sikumbuki ila wote walikua adhabu.