Kwanini wanajeshi wana kauli za kibabe?

Kwanini wanajeshi wana kauli za kibabe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,059
Reaction score
126,638
Wanajeshi Wetu Hata Wakiwa Tu Mitaani Lugha Zao Ni 100% Za Kibabe Na Za Kuamrisha Tu? Hivi Yawezekana Ikawa Moja Ya Criteria Of Being A Good Soldier Ni Kuwa Very Sober And Harsh? Hivi Humo Majumbani Mwao Si Huwa Hakukaliki Kwa Masharti Na Adhabu?
 
sio wote wako hivyo....wengine ni wapole na wakarimu
 
Wapo walio malimbukeni wa kujiona kuwa jeshi ndo kuwa kuwA top wa kila kitu.sisi walikuwepo kiamboni kwetu wawili wakuda hamna tena.! Lakini mmoja ndo yule alokatwa kichwa barabarani wakati anaendesha vespa.huyu alobaki kaanyooka kawa msamaria mwema.!
 
Wanajeshi Wetu Hata Wakiwa Tu Mitaani Lugha Zao Ni 100% Za Kibabe Na Za Kuamrisha Tu? Hivi Yawezekana Ikawa Moja Ya Criteria Of Being A Good Soldier Ni Kuwa Very Sober And Harsh? Hivi Humo Majumbani Mwao Si Huwa Hakukaliki Kwa Masharti Na Adhabu?

very sober and very harsh unamaanisha nini?
 
Yaani mimi huwa wanani-bore tena vinavyosumbua hivi vinavyotoka depo huwa vinajihisi kama vinarusha ndege za kivita za kwa Obama, kumbe Amboni tu kumewashinda
 
Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuu
 
Mazingira ya kazi ndo yanakulazimu ufanye hayo jeshini ni mwendo wa amri tu sasa lazima ile hali ikukae akilini na usipotumia amri raia hawakuelewi umekutana na wahalifu uko mitaani alafu unasema"jamani nyie wakaka tawanyikeni"
 
Mimi ninajamaa zangu niwapole na wastaarabu mpaka nimependa kazi hiyo ya jeshi..na jeshi ni amri kaka..na kazi ngumu..uliwaona aliokuja nao kaka Obama walikuwa wanacheka na mtu..utasikia tu "MOVE OUT" Au huo sio ubabbe
 
Si wanajeshi wote wapo wengi wastaarabu sana lakini wapo wengine unaweza kushangaa jinsi wanavyojiona wapo juu ya kila kitu.

Mara nyingi wanajeshi waliokwenda shule hawana shida wanajua wapo jeshini kwaajili ya kulinda mipaka ya nchi lakini wapo wale wanajeshi ambao shule imewapita kando hawa ndio shida.
 
Kuna mjeda mmoja mstaafu yeye tulikutana hospitali alikuwa amelazwa ward moja na mdogo wangu..... Ilikuwa ni balaa kwa wagonjwa wenzie full kufokewa mwanzo mwisho, na kali zaidi kuna cku aliamka alfajiri eti kufanya mazoezi ya viungo akawa anawaambia na wagonjwa wenzie waache kujidekeza ni lazima wafanye mazoezi
 
mtaani kwetu na wote ninaowafahamu mim hawako hivyo.

Yawezekana Kagame Aliwafundisha Adabu Congo DRC Kupitia M23 Ndiyo Maana Hawako Wanoko Kama Wenzao Na Pengine Siyo Wajeda Hao.
 
very sober and very harsh unamaanisha nini?

Try To Be A Wordsmith Mkuu. Kama Hicho Chepesi Tu Kinakutoa Mpaka Mapovu Ya Makwapani Vipi Ktk Ngeli Nyingine Zikitupiwa Humu?
 
Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuu

Kwahiyo Kusema RETA, NIPE, KUJA HAPA, RARA CHINI, PANUA MIGUU, KAA VIZURI NIINGIZE, FANYA UPESI, KIMBIA Ndiyo Hulka Zao Mkuu?
 
sio wote wako hivyo....wengine ni wapole na wakarimu

Ukiona Mwanajeshi Mpole Na Mkarimu Basi Ujue Huyo Anakaribia Kustaafu au Ni Mgonjwa au Keshavuta Cha Tarime / Longido / Malawi.
 
Yaani mimi huwa wanani-bore tena vinavyosumbua hivi vinavyotoka depo huwa vinajihisi kama vinarusha ndege za kivita za kwa Obama, kumbe Amboni tu kumewashinda

Uko Sawa Mkuu Na Nakubaliana Na Wewe. By The Way Mbona Hatujapata Feedback Yoyote Ya JWTZ Kutoka Amboni Tanga? Kulikoni?
 
Ulishaona wapi konda Hana maneno ya shombo.kila kazi na hulka yake mkuu

Hulka Ya Wazibua Vyoo Na Majambazi Nazo Ni Zipi? Unaonekana Unajua Mno Hulka Za Kazi Za Watu Hebu Basi Nijibie Na Hulka Za Hao.
 
Mimi ninajamaa zangu niwapole na wastaarabu mpaka nimependa kazi hiyo ya jeshi..na jeshi ni amri kaka..na kazi ngumu..uliwaona aliokuja nao kaka Obama walikuwa wanacheka na mtu..utasikia tu "MOVE OUT" Au huo sio ubabbe

Hao Hao Unaowasifu Kuwa Ni Wapole Na Wastaarabu Ngoja Wakubandulie Shemeji Yetu Ndipo Utaijua Shughuli Yao Na Ubabe Wao!
 
Kuna mjeda mmoja mstaafu yeye tulikutana hospitali alikuwa amelazwa ward moja na mdogo wangu..... Ilikuwa ni balaa kwa wagonjwa wenzie full kufokewa mwanzo mwisho, na kali zaidi kuna cku aliamka alfajiri eti kufanya mazoezi ya viungo akawa anawaambia na wagonjwa wenzie waache kujidekeza ni lazima wafanye mazoezi

Mkuu Leo Umepanga Kuniua Kwa Kunivunja Mbavu au? Kwa Maana Hii Ni Kwamba Sasa Itabidi Ukienda Kulazwa Hospital Yoyote Uulizie Kuna Wanajeshi Wangapi Wamelazwa Humo. Sasa Nimeamini Ni Kwanini Hata Hapo Lugalo Wanalazwa Wenyewe Tu Yawezekana Raia Wakilala Hapo Hupona Wenyewe Kwa Ubabe Wao Humo Wodini Kabla Hata Madaktari Hawajawahudumia. Nimecheka Mno Mkuu Na Post Yako!
 
Back
Top Bottom