Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,293
- 6,903
Kitendo ni kupindua, kikitimia ndiyo huitwa mapinduzi na kikifeli huitwa jaribio la mapinduzi.Kwani ya akina Hanspope yalikuwa mapinduzi au jaribio la mapinduzi b…?
Ova
Kitendo ni kupindua, kikitimia ndiyo huitwa mapinduzi na kikifeli huitwa jaribio la mapinduzi.Kwani ya akina Hanspope yalikuwa mapinduzi au jaribio la mapinduzi b…?
Hold on, kwa maana hiyo yale yalifanikiwa?Kitendo ni kupindua, kikitimia ndiyo huitwa mapinduzi na kikifeli huitwa jaribio la mapinduzi.
Ova
Hata nyerere alikua akiitwa mtukufu, baada ya ujamaa kuingia ndio akabadili na kuita ndugu huku yeye akiitwa mwalimu.Wazenji kwao kila kitu ni kitukufu, hata Raisi humuita Mtukufu, na bara walianza kuiga wakawa wanamuita Raisi mwinyi mtukufu, alipoingia Mkapa madarakani kitu cha kwanza akapiga marufuku kuitwa mtukufu!, ndio maana hadi leo kwa bara hutasikia Raisi anaitwa mtukufu, au Muungano mtukufu!.
Stick kwenye mada, ficha ujinga wako.Waliokufa kwenye hayo mapinduzi walipewa mabikra 72 huko kwa alah
Isijekuwa wewe ndio mjinga!!!???waislam ni wajinga sana
[emoji38][emoji38][emoji38]
HahaaaKwasasa huko visiwani kuna shamrashamra yakuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi.
Wazanzibar wenyewe huyaita “mapinduzi matukufu” je huwa wanamaanidha nini? Ni upi huo utukufu katika hayo Mapinduzi?
NB:
Fursa za Chattle zimehamia Visiwani
Kwani mada inazungumzia magari mi nikajibu maharagwe we mfuasi wa marehemu muddy wa mnyazimungu?Stick kwenye mada, ficha ujinga wako.
Primitive.