mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Nimegundua haya,
Kwanini Hapa Tanzania kila graduates wa taaluma hizi atakuja na proposal ya information management system yoyote ile hata kama zipo tayari.
Kibaya zaidi system hizi hazina tofauti miaka nenda rudi
Hakuna kingine tofauti?
Je, Kati ya wanafunzi, wasimamizi, maandalizi na mazingira ni lipi linachangia/sababisha kuendelea kudumaa kwa taaluma hizi?
Ninaposema kudumaa namaanisha hatupati watu wenye upeo mpana wa kufikiri na kutoa tatuzi bora zenye ushindani na zilizotofauti katika maswala yanayohusisha tàaluma hizi!.
Una sema nini kuhusu hili, @wadau wa elimu.