Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #61
.Mbona wapo wanasiasa wengi tu duniani si wasomi lakini wana maono na busara?MBOWE kutokuwa na shule ni tatizo.

Si kweliKwa hiyo ni kwelimnahujumu polisi?
Sijaona unachokihangaikia, huna kazi mpaka unaandika yote hayo? Chapa kazi acha kulialia hapa!Wanajamii heshima kwenu!
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kutokana na tabia na matendo ninayoshuhudia miongoni mwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya chama hicho kushindwa uchaguzi mkuu 2015. Ninalazimika kutolea maelezo baadhi ya tabia mbaya ambazo wafuasi na viongozi wa CHADEMA wanazikumbatia ambazo kimsingi zinawadhalilisha.
Husda/Husuda.
Kwa sasa wafuasi wa chadema ni kama vile wao sio watanzania...wanafurahia nchi ipate mabaya.Jana tar.23.8.2016...lilitokea tukio la mauaji ya polisi hjuko Mbande cha kusikitisha baadhi ya wafuasi wa chadema kupitia mitandao ya kijamii wamefurahia jambo hilo..eti wakijigamba ni malipo sababu polisi wamepiga marufuku ukuta. Si hilo tu utawasikia viongozi na wafuasi wa chadema wakisema 'nchi hii bila kuuana hatutaheshimiana'...''lazima tuchapane kama Burundi/Rwanda ndio heshima ije''...hizi ndio akili zao, tujiulize yakitokea haya je ni nchi gani kama wao wakiwa viongozi watatawala?..je wao familia zao si watanzania?
Fikra za utumwa.
Katika jambo ambalo Mbowe/Lowassa kafanikiwa kuwateka ni kuwawekea fikra kuwa wao ni watumwa/koloni.....utamsikia Mbowe akisema...''nataka niwakomboe makamanda''..nao wanafurahia. Alitakalo mjinga ndilo linalomtokea....wengi wa wafuasi wa chadema wanaishi kama watumwa...kifikra/kiuchumi/kisiasa nk....kwa sasa utawakuta wanasema ''bora Triump ashinde ili aje awaondoe watawala afrika''...akili mbovu hii...Mbaya zaidi hadi Profesa Baregu anasubiri ''kukombolewa'' na Mbowe au Lowassa...Naungana na Mwandishi,Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Nguli aliyekuwa Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mh.Benjamini Mkapa aliyesema ''wanaofikiri nchi hii ni koloni hao ni malofa na wapumbavu''..ghafla watumwa hawa wakavaa fulana walizojiandika kuwa wao ni ''malofa na wapumbavu katika ubora''.
Kuabudu 'mazingaombwe'.
Moja ya tabia ambayo wamepandikizwa ni kuamini mazingaombwe ya kisiasa...na hapa lazima nikiri huenda Lowassa ndiye mwanamazingaombwe bora wa muda wote Tanzania kwani ndiye aliemtumia Sheikh Yahya kumpamba JK (2005-2010) sasa kahamia na siasa hizo za maajabu kazipeleka CHADEMA. Kujitwika 'unabii' kupitia mitume bandia,kujinasibu kwamba yeye ni zaidi ya serikali.....''niachieni kura za uraisi''...nk..nk..nk!,ICC,ICJ???
Ujinga na Rohombaya
Hii ni tabia ambayo kwakweli Lowassa kafanikiwa, kawatia ujinga....utakuta mtu ana PhD anasema mbele za watu...''ni bora nichague jiwe''..sasa ukichagua jiwe litakuwa Raisi?...upande wa pili wamepandikizwa chuki kuwachukia watu wengine hata kama ni ndugu zao wenye mtazamo tofauti kisiasa...baada ya uchaguzi tuliwasikia wakiapa....''sitarudi kijijini na sitatuma hela wala msaaada wowote kwa sababu chadema haijashinda kwetu'''...ujinga huu...au utamsikia Kubenea akiwaambia wabunge wenzake eti..''Mbunge wa chadema hjaruhusiwi kuzungumza,kuolewa...nk na mbunge wa CCM''..kwa hivyo kama mbunge wa CCM ana Kaka yake Mbunge wa chadema wasiongee...bure kabisa,....na hapa ndio mwendelezo wa Seif kutosalimia Dr.Shein katika msiba wa Jumbe...Ujinga huu Lowassa anafaidi sababu kageuzwa mungu...hatahojiwa,kafutiwa dhambi na kuhani Tundu.
Hasira na uninafsi.
Wanachadema kwa sasa wamejengwa kwa falsafa ya hasira na ubinafsi,kuchukia yeyote mwenye fikra tofauti na wao...wamejibandika wao kuwa ndio wenye 'akili na maono'..kitu ambacho sicho,utofauti wa itikadi kisiasa sio uadui.
Ulimbukeni;
Hii ni tabia ambayo kwa sasa imetamalaki,wanachadema hasa vijana wameacha kufanya kazi zilizowapa kipato na kutaka kufanya siasa muda wote...kutengeneza mazingira kuwa wanaonewa nk....kila kijana bavicha anafikiri ili uwe mwanasiasa ni lazima mbunge!..
Uongo na upotoshaji
Wanachadema wamejengwa katika uongo na upotoshaji wa mambo mbalimbali...kutengeneza 'clip' kwa kukatiza ili kupotosha ujumbe wa kiongozi wa serikali....bila kujua kuwa uongo hukwepa ukweli.Kuetengeneza machafuko na uongo dhidi ya serikali na wakiitwa polisi hujipiga picha hadi selo kama njia ya kupata huruma za kisiasa...haya mambo hayadumu!
Hizi ni baadhi ya tabia ambazo kwa kweli zinadhalilisha wanaCHADEMA.
pinga kwa hoja na sio kulia lia...Mbowe aliokolewa na maafisa usalama,Wasira alimpa mbowe sare za CCM wakampandisha gari la usalama akatoroshewa Mwanza baada ya ndugu na wananchi wa Tarime kumtuhumu kumuua marehemu Chacha Wange.Huo ndio ukweli!
Basi wamekomaNdio maana Lema kaja na unafiki JF kutoa pole ilhali maneno aliyoandika ni furaha kwake,maandamano ni uhuni...haihalalishi uhuni.
Mimi sio mnafki kama nyie vinafki vya Lumumba, kwa hiyo unataka kusema sisi ndo tumeleta haya mabadiliko,mabadiliko haya yameletwa na watu wanafki kama wewe,mnaoona kifo cha mwanachadema ni halali,ila cha vibaraka wenu kinauma,mnafki mkubwa weweTua Ngoma
Tulitaka mabadiliko, lakini haya yanu ya kihuni HAPANA
Wanajamii heshima kwenu!
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kutokana na tabia na matendo ninayoshuhudia miongoni mwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya chama hicho kushindwa uchaguzi mkuu 2015. Ninalazimika kutolea maelezo baadhi ya tabia mbaya ambazo wafuasi na viongozi wa CHADEMA wanazikumbatia ambazo kimsingi zinawadhalilisha.
Husda/Husuda.
Kwa sasa wafuasi wa chadema ni kama vile wao sio watanzania...wanafurahia nchi ipate mabaya.Jana tar.23.8.2016...lilitokea tukio la mauaji ya polisi hjuko Mbande cha kusikitisha baadhi ya wafuasi wa chadema kupitia mitandao ya kijamii wamefurahia jambo hilo..eti wakijigamba ni malipo sababu polisi wamepiga marufuku ukuta. Si hilo tu utawasikia viongozi na wafuasi wa chadema wakisema 'nchi hii bila kuuana hatutaheshimiana'...''lazima tuchapane kama Burundi/Rwanda ndio heshima ije''...hizi ndio akili zao, tujiulize yakitokea haya je ni nchi gani kama wao wakiwa viongozi watatawala?..je wao familia zao si watanzania?
Fikra za utumwa.
Katika jambo ambalo Mbowe/Lowassa kafanikiwa kuwateka ni kuwawekea fikra kuwa wao ni watumwa/koloni.....utamsikia Mbowe akisema...''nataka niwakomboe makamanda''..nao wanafurahia. Alitakalo mjinga ndilo linalomtokea....wengi wa wafuasi wa chadema wanaishi kama watumwa...kifikra/kiuchumi/kisiasa nk....kwa sasa utawakuta wanasema ''bora Triump ashinde ili aje awaondoe watawala afrika''...akili mbovu hii...Mbaya zaidi hadi Profesa Baregu anasubiri ''kukombolewa'' na Mbowe au Lowassa...Naungana na Mwandishi,Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Nguli aliyekuwa Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mh.Benjamini Mkapa aliyesema ''wanaofikiri nchi hii ni koloni hao ni malofa na wapumbavu''..ghafla watumwa hawa wakavaa fulana walizojiandika kuwa wao ni ''malofa na wapumbavu katika ubora''.
Kuabudu 'mazingaombwe'.
Moja ya tabia ambayo wamepandikizwa ni kuamini mazingaombwe ya kisiasa...na hapa lazima nikiri huenda Lowassa ndiye mwanamazingaombwe bora wa muda wote Tanzania kwani ndiye aliemtumia Sheikh Yahya kumpamba JK (2005-2010) sasa kahamia na siasa hizo za maajabu kazipeleka CHADEMA. Kujitwika 'unabii' kupitia mitume bandia,kujinasibu kwamba yeye ni zaidi ya serikali.....''niachieni kura za uraisi''...nk..nk..nk!,ICC,ICJ???
Ujinga na Rohombaya
Hii ni tabia ambayo kwakweli Lowassa kafanikiwa, kawatia ujinga....utakuta mtu ana PhD anasema mbele za watu...''ni bora nichague jiwe''..sasa ukichagua jiwe litakuwa Raisi?...upande wa pili wamepandikizwa chuki kuwachukia watu wengine hata kama ni ndugu zao wenye mtazamo tofauti kisiasa...baada ya uchaguzi tuliwasikia wakiapa....''sitarudi kijijini na sitatuma hela wala msaaada wowote kwa sababu chadema haijashinda kwetu'''...ujinga huu...au utamsikia Kubenea akiwaambia wabunge wenzake eti..''Mbunge wa chadema hjaruhusiwi kuzungumza,kuolewa...nk na mbunge wa CCM''..kwa hivyo kama mbunge wa CCM ana Kaka yake Mbunge wa chadema wasiongee...bure kabisa,....na hapa ndio mwendelezo wa Seif kutosalimia Dr.Shein katika msiba wa Jumbe...Ujinga huu Lowassa anafaidi sababu kageuzwa mungu...hatahojiwa,kafutiwa dhambi na kuhani Tundu.
Hasira na uninafsi.
Wanachadema kwa sasa wamejengwa kwa falsafa ya hasira na ubinafsi,kuchukia yeyote mwenye fikra tofauti na wao...wamejibandika wao kuwa ndio wenye 'akili na maono'..kitu ambacho sicho,utofauti wa itikadi kisiasa sio uadui.
Ulimbukeni;
Hii ni tabia ambayo kwa sasa imetamalaki,wanachadema hasa vijana wameacha kufanya kazi zilizowapa kipato na kutaka kufanya siasa muda wote...kutengeneza mazingira kuwa wanaonewa nk....kila kijana bavicha anafikiri ili uwe mwanasiasa ni lazima mbunge!..
Uongo na upotoshaji
Wanachadema wamejengwa katika uongo na upotoshaji wa mambo mbalimbali...kutengeneza 'clip' kwa kukatiza ili kupotosha ujumbe wa kiongozi wa serikali....bila kujua kuwa uongo hukwepa ukweli.Kuetengeneza machafuko na uongo dhidi ya serikali na wakiitwa polisi hujipiga picha hadi selo kama njia ya kupata huruma za kisiasa...haya mambo hayadumu!
Hizi ni baadhi ya tabia ambazo kwa kweli zinadhalilisha wanaCHADEMA.
Hakika!Ukweli mchungu, hata hivyo nyumbu ni nyumbu tu.!
Kwa hiyo ndio maana umefurahia mauaji yaUwe wa kwanza kuleta utengano then unakaa pembeni na kuuliza mpinzani kwanin hakuna mshikamano????!!
Umeishiwa pumzi Mkuu,nashukuru comment yangu umeielewa sana na umefaulu kwa kukuingia mpaka kunako.Sipo kwaajili ya mlengo wowote Ila nimetoa mtazamo kulingana na hali halisi ilivo.Hata hivo mie si mwanachama,mkereketwa wala sijui nini wa chama chochote kile hapo home Tz.Ila ww na wengine wengi mna mawazo HASI ya kila mtu anayeongea ukweli na kuyaweka wazi yale yaliyopo basi ni CHADEMA,big NO brother si hivo badilika.Kwa hivyo hapa ndipo Mbowe alipowateka na falsafa ya ''bora kuchagua jiwe''....''bora kuchagua maiti''...sidhani hata hiyo ni ''desire''...mfano wako ni wahovyo sababu ni nani amesema kuwa beki3 sio wananawake...hapa suala ni maajabu ya mtu kuacha mwanamke na kwenda kufanya mapenzi na mbwa!...fungua akili..hapa ndio ile tabia ya mazingaombwe na ujinga ambayo mmefungwa nayo...pole!

Hakika wewe ni cleverNaona nyie hamtoelewana kamwe kwa majibizano haya.....kila mmoja anajiona yupo sawa. ....mmoja anaona ni sawa polisi wanapopiga mazoezi hadharani kuonyesha Kwamba wako vizur kwa kua siku zote wapo kwenye kambi zao tu wamekaa na hawana maeneo ya kufanyia mazoezi yao. ...na wa pili anaona kwamba polisi wanafanya mazoezi kwa ajili ya kuja kuwathibiti siku ya tukio. ..hapo no kuelewana....kwa kuwasaidia tu...kila mmoja awaze anavyoona lakini sio kila mmoja kumlazimisha mwenzake aamini mawazo yake.
Ukweli una upande,sio neutral...Umeishiwa pumzi Mkuu,nashukuru comment yangu umeielewa sana na umefaulu kwa kukuingia mpaka kunako.Sipo kwaajili ya mlengo wowote Ila nimetoa mtazamo kulingana na hali halisi ilivo.Hata hivo mie si mwanachama,mkereketwa wala sijui nini wa chama chochote kile hapo home Tz.Ila ww na wengine wengi mna mawazo HASI ya kila mtu anayeongea ukweli na kuyaweka wazi yale yaliyopo basi ni CHADEMA,big NO brother si hivo badilika.
Soma vizuri comment yng utaelewa.
Note:
Yawezekana watu wakafurahi hata wakitawaliwa na Sauti ya Umma(SAU). Hitaji (DESIRE) lao likatimia.
Somo hilo![]()
![]()
![]()
Haujalazimishwa..japo umekiri yaliyosema.Asante kwa kuja.Kwa hiyo mnatulazimisha tuwapende kwa jema lipi...
Mafisi katika ubora wao hii inaonesha ni jinsi gani mafisi yalivyo kuwa na unafiki wa kupindukia nani asie jua kuwa kila anachofanya huyo mtukufu wenu ni kwa ajili ya kidhibiti chadema, nani asiejua hata bunge amewekwa mtu ili adhibiti watu kuongelea upungufu wa mfalme, na nani asiejua ndani ya mafisi wenyewe na viongozi wa serikali pia watu hawana amani na haswa sababu ya mtukufu kuona yeye ni bora kupita binadamu wote haswa ndani ya Tanzania ikimaanisha analosema yeye hata viongozi wa ndini hawaruhusiwi kulipinga au kutoa ushauri, nani asiejua,mafisi ndio adui mkubwa wa watanzania haswa tabia yao ya wizi, dhulma na upotoshaji na ukipinga wewe ndio muhasi, hivi nani asiejua serikali ya mafisi ilipora ushindi wa Self Zanzibar, nani asiejua mnaishi sababu ya mabavu ya polisi na kama sio hivyo hata ndani yenu wanachama na baadhi ya viongozi hawana sauti wakogopa vitisho vya mfalme, nani asiejua viongozi wenu wa serikali wanaingilia hata bunge wapinzani wasiongee kwa demokrasia, na ku edit hotuba zao ili mfalme aonekane mtukufu mkizuia watanzania wasiambiwe ukweli kuhusu Lugumi, uuzwaji wa nyumba za serikali, Escrow na mengineo. Sasa hapo nani mzandiki, mwizi, fisadi, mchochezi na pia dhulma ni chadema au ccm?Chadema kiko kwenye dripu,kinamsubiri daktari bingwa wilbroad slaa,laa sivyo kinana amendaa sanda na kaburi pale tengeru.