Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Ya kihuni kivipi?Tulitaka mabadiliko, lakini haya yanu ya kihuni HAPANA
Ya kihuni kivipi?Tulitaka mabadiliko, lakini haya yanu ya kihuni HAPANA
Katiba ina mipaka....penye ruhusa/haki pana wajibu na sio holela....basi iwe maandamano kila siku...wamalize chadema,waanze CCM,wafatie CUF...kila siku...kuna muda wasiasa na kazi...kufanya uhuni kwa kisingizio ch katiba haiwezekani.Kwahiyo katiba ni ya kihuni kwa kuhalalisha uhuni?
Kwa hiyo unamaanisha kuwa waliopora silaha na kuua polisi ni wanaCHADEMA walikasirishwa na uamuzi wa jeshi la polisi kufuta maandamano na ukuta? au walichukizwa na kitendo cha polisi kufanya mazoezi...angalieni alitakalo mjinga ndilo humtokea!Mkuu hawa watu ni wakuhurumiwa!Walivyokuwa wanashabikia wakiwasihi Polisi kuvunja na kuua wanaCDM utafikiri sio watanzania utashangaa leo wamebadilika!
Mimi binafsi sijafurahia kitendo walicjhofanyiwa polisi,ila nadhani ni funzo wajue kipaumbele chao ni nin!Wakitaka kuwa wanasiasa watajikuta pabaya,wataacha majukumu yao ya msingi!
Tatizo mgumu kuelewa,huwa tunapata shida sana kuwaelimisha!Soma between lines,ninaposema wanasahau majukumu yao ya msingi namaanisha wanafanya siasa badala ya kulinda watu na Mali zao!Nguvu kubwa inatumika kudeal na watu ambao hata sio threat kwa nchi!Wakae wajipange kukabiliana na majambazi,washirikiane na wananchi ambao miongoni mwao ni hao wanaCDM wanaowatisha!Kwa hiyo unamaanisha kuwa waliopora silaha na kuua polisi ni wanaCHADEMA walikasirishwa na uamuzi wa jeshi la polisi kufuta maandamano na ukuta? au walichukizwa na kitendo cha polisi kufanya mazoezi...angalieni alitakalo mjinga ndilo humtokea!
sasa tarehe 31 aug uvccnm wanafanya uhuni halafu wewe unaandika uhuni hapa .......Ndio maana Lema kaja na unafiki JF kutoa pole ilhali maneno aliyoandika ni furaha kwake,maandamano ni uhuni...haihalalishi uhuni.
kama cdm ipo kwenye dripu kwanini mnatumia nguvu kubwa sana kupambana na mgonjwa? kutwa mazoezi mtaani sababu ya chama kilichopo kwenye drip. nina wasiwasi na akili zenuChadema kiko kwenye dripu,kinamsubiri daktari bingwa wilbroad slaa,laa sivyo kinana amendaa sanda na kaburi pale tengeru.
Hata wewe kwa andiko lako hili hujaonekana kuwaunganisha watanzania, lete mada ambazo zitachochea umoja wa kitaifa kwa maada hii naona wewe pia ni mchochezi tu.Nafasi za kuongoza na kupata vinono katika taifa hili ni chache sana, kwa hiyo wanaopata nafasi hizo yawapasa kukumbuka kuwa wao hawana akili sana katika Taifa hili kwa hiyo nafasi hizo wazitumie kwa manufaa ya wote na kwamba sio lazima wawe wao milele na wawe tayari wakati ukifika kuwapisha na wengine na hiyo itakuwa nyepesi kama wametengeneza mazingira bora kwa yeyote popote atakapo kuwa ilimradi katiba na sheria za nchi vinazingatiwa.Wanajamii heshima kwenu!
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kutokana na tabia na matendo ninayoshuhudia miongoni mwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya chama hicho kushindwa uchaguzi mkuu 2015. Ninalazimika kutolea maelezo baadhi ya tabia mbaya ambazo wafuasi na viongozi wa CHADEMA wanazikumbatia ambazo kimsingi zinawadhalilisha.
Husda/Husuda.
Kwa sasa wafuasi na viongozi wa chadema ni kama vile wao sio watanzania...wanafurahia nchi ipate mabaya.Jana tar.23.8.2016...lilitokea tukio la mauaji ya polisi hjuko Mbande cha kusikitisha baadhi ya wafuasi wa chadema kupitia mitandao ya kijamii wamefurahia jambo hilo..eti wakijigamba ni malipo sababu polisi wamepiga marufuku ukuta. Si hilo tu utawasikia viongozi na wafuasi wa chadema wakisema 'nchi hii bila kuuana hatutaheshimiana'...''lazima tuchapane kama Burundi/Rwanda ndio heshima ije''...hizi ndio akili zao, tujiulize yakitokea haya je ni nchi gani kama wao wakiwa viongozi watatawala?..je wao familia zao si watanzania?
Fikra za utumwa.
Katika jambo ambalo Mbowe/Lowassa kafanikiwa kuwateka ni kuwawekea fikra kuwa wao ni watumwa/koloni.....utamsikia Mbowe akisema...''nataka niwakomboe makamanda''..nao wanafurahia. Alitakalo mjinga ndilo linalomtokea....wengi wa wafuasi wa chadema wanaishi kama watumwa...kifikra/kiuchumi/kisiasa nk....kwa sasa utawakuta wanasema ''bora Triump ashinde ili aje awaondoe watawala afrika''...akili mbovu hii...Mbaya zaidi hadi Profesa Baregu anasubiri ''kukombolewa'' na Mbowe au Lowassa...Naungana na Mwandishi,Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Nguli aliyekuwa Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mh.Benjamini Mkapa aliyesema ''wanaofikiri nchi hii ni koloni hao ni malofa na wapumbavu''..ghafla watumwa hawa wakavaa fulana walizojiandika kuwa wao ni ''malofa na wapumbavu katika ubora''.
Kuabudu 'mazingaombwe'.
Moja ya tabia ambayo wamepandikizwa ni kuamini mazingaombwe ya kisiasa...na hapa lazima nikiri huenda Lowassa ndiye mwanamazingaombwe bora wa muda wote Tanzania kwani ndiye aliemtumia Sheikh Yahya kumpamba JK (2005-2010) sasa kahamia na siasa hizo za maajabu kazipeleka CHADEMA. Kujitwika 'unabii' kupitia mitume bandia,kujinasibu kwamba yeye ni zaidi ya serikali.....''niachieni kura za uraisi''...nk..nk..nk!,ICC,ICJ???
Ujinga na Rohombaya
Hii ni tabia ambayo kwakweli Lowassa kafanikiwa, kawatia ujinga....utakuta mtu ana PhD anasema mbele za watu...''ni bora nichague jiwe''..sasa ukichagua jiwe litakuwa Raisi?...upande wa pili wamepandikizwa chuki kuwachukia watu wengine hata kama ni ndugu zao wenye mtazamo tofauti kisiasa...baada ya uchaguzi tuliwasikia wakiapa....''sitarudi kijijini na sitatuma hela wala msaaada wowote kwa sababu chadema haijashinda kwetu'''...ujinga huu...au utamsikia Kubenea akiwaambia wabunge wenzake eti..''Mbunge wa chadema hjaruhusiwi kuzungumza,kuolewa...nk na mbunge wa CCM''..kwa hivyo kama mbunge wa CCM ana Kaka yake Mbunge wa chadema wasiongee...bure kabisa,....na hapa ndio mwendelezo wa Seif kutosalimia Dr.Shein katika msiba wa Jumbe...Ujinga huu Lowassa anafaidi sababu kageuzwa mungu...hatahojiwa,kafutiwa dhambi na kuhani Tundu.
Hasira na uninafsi.
Wanachadema kwa sasa wamejengwa kwa falsafa ya hasira na ubinafsi,kuchukia yeyote mwenye fikra tofauti na wao...wamejibandika wao kuwa ndio wenye 'akili na maono'..kitu ambacho sicho,utofauti wa itikadi kisiasa sio uadui.
Ulimbukeni;
Hii ni tabia ambayo kwa sasa imetamalaki,wanachadema hasa vijana wameacha kufanya kazi zilizowapa kipato na kutaka kufanya siasa muda wote...kutengeneza mazingira kuwa wanaonewa nk....kila kijana bavicha anafikiri ili uwe mwanasiasa ni lazima mbunge!..
Uongo na upotoshaji
Wanachadema wamejengwa katika uongo na upotoshaji wa mambo mbalimbali...kutengeneza 'clip' kwa kukatiza ili kupotosha ujumbe wa kiongozi wa serikali....bila kujua kuwa uongo hukwepa ukweli.Kuetengeneza machafuko na uongo dhidi ya serikali na wakiitwa polisi hujipiga picha hadi selo kama njia ya kupata huruma za kisiasa...haya mambo hayadumu!
Hizi ni baadhi ya tabia ambazo kwa kweli zinadhalilisha wanaCHADEMA.
Polisi hawajawatisha chadema bali wamekataa kutoa kibali cha maandamano kwa sababu za kiusalama...sasa ukukataliwa jambo wewe unakuwa na gubu ukikubaliwa unajiona una 'akili'...tufike sehemu tukubaliane tu hata kwa maandishi yako haya tu inaonyesha tu kama Polisi wangekubali ukuta wasingeuwawa na kunyang'anywa silaha...na hii si mara ya kwanza kwa chadema kufurahia...hata mauaji ya polisi stakishari nk...nk...nk..Ila nimefarijika kwamba umekubaliana na hizo tabia za chadema japo unakiri ni sababu ya 'hasira'Tatizo mgumu kuelewa,huwa tunapata shida sana kuwaelimisha!Soma between lines,ninaposema wanasahau majukumu yao ya msingi namaanisha wanafanya siasa badala ya kulinda watu na Mali zao!Nguvu kubwa inatumika kudeal na watu ambao hata sio threat kwa nchi!Wakae wajipange kukabiliana na majambazi,washirikiane na wananchi ambao miongoni mwao ni hao wanaCDM wanaowatisha!
Tafsiri ya CHADEMA mazoezi ya polisi ni dhidi yenu?...kwa hiyo polisi wasinunue silaha,wala kufanya lolote sababu ni kwa ajili ya chadema?...hivi ninyi watu vipi....bungeni kila siku wabunge wanalalamika kulipa jeshi uwezo na silaha za kisasa...endeleeni ila mmejipaka kinyesi kwa hili.kama cdm ipo kwenye dripu kwanini mnatumia nguvu kubwa sana kupambana na mgonjwa? kutwa mazoezi mtaani sababu ya chama kilichopo kwenye drip. nina wasiwasi na akili zenu
Wanajamii heshima kwenu!
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kutokana na tabia na matendo ninayoshuhudia miongoni mwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya chama hicho kushindwa uchaguzi mkuu 2015. Ninalazimika kutolea maelezo baadhi ya tabia mbaya ambazo wafuasi na viongozi wa CHADEMA wanazikumbatia ambazo kimsingi zinawadhalilisha.
Husda/Husuda.
Kwa sasa wafuasi na viongozi wa chadema ni kama vile wao sio watanzania...wanafurahia nchi ipate mabaya.Jana tar.23.8.2016...lilitokea tukio la mauaji ya polisi hjuko Mbande cha kusikitisha baadhi ya wafuasi wa chadema kupitia mitandao ya kijamii wamefurahia jambo hilo..eti wakijigamba ni malipo sababu polisi wamepiga marufuku ukuta. Si hilo tu utawasikia viongozi na wafuasi wa chadema wakisema 'nchi hii bila kuuana hatutaheshimiana'...''lazima tuchapane kama Burundi/Rwanda ndio heshima ije''...hizi ndio akili zao, tujiulize yakitokea haya je ni nchi gani kama wao wakiwa viongozi watatawala?..je wao familia zao si watanzania?
Fikra za utumwa.
Katika jambo ambalo Mbowe/Lowassa kafanikiwa kuwateka ni kuwawekea fikra kuwa wao ni watumwa/koloni.....utamsikia Mbowe akisema...''nataka niwakomboe makamanda''..nao wanafurahia. Alitakalo mjinga ndilo linalomtokea....wengi wa wafuasi wa chadema wanaishi kama watumwa...kifikra/kiuchumi/kisiasa nk....kwa sasa utawakuta wanasema ''bora Triump ashinde ili aje awaondoe watawala afrika''...akili mbovu hii...Mbaya zaidi hadi Profesa Baregu anasubiri ''kukombolewa'' na Mbowe au Lowassa...Naungana na Mwandishi,Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Nguli aliyekuwa Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mh.Benjamini Mkapa aliyesema ''wanaofikiri nchi hii ni koloni hao ni malofa na wapumbavu''..ghafla watumwa hawa wakavaa fulana walizojiandika kuwa wao ni ''malofa na wapumbavu katika ubora''.
Kuabudu 'mazingaombwe'.
Moja ya tabia ambayo wamepandikizwa ni kuamini mazingaombwe ya kisiasa...na hapa lazima nikiri huenda Lowassa ndiye mwanamazingaombwe bora wa muda wote Tanzania kwani ndiye aliemtumia Sheikh Yahya kumpamba JK (2005-2010) sasa kahamia na siasa hizo za maajabu kazipeleka CHADEMA. Kujitwika 'unabii' kupitia mitume bandia,kujinasibu kwamba yeye ni zaidi ya serikali.....''niachieni kura za uraisi''...nk..nk..nk!,ICC,ICJ???
Ujinga na Rohombaya
Hii ni tabia ambayo kwakweli Lowassa kafanikiwa, kawatia ujinga....utakuta mtu ana PhD anasema mbele za watu...''ni bora nichague jiwe''..sasa ukichagua jiwe litakuwa Raisi?...upande wa pili wamepandikizwa chuki kuwachukia watu wengine hata kama ni ndugu zao wenye mtazamo tofauti kisiasa...baada ya uchaguzi tuliwasikia wakiapa....''sitarudi kijijini na sitatuma hela wala msaaada wowote kwa sababu chadema haijashinda kwetu'''...ujinga huu...au utamsikia Kubenea akiwaambia wabunge wenzake eti..''Mbunge wa chadema hjaruhusiwi kuzungumza,kuolewa...nk na mbunge wa CCM''..kwa hivyo kama mbunge wa CCM ana Kaka yake Mbunge wa chadema wasiongee...bure kabisa,....na hapa ndio mwendelezo wa Seif kutosalimia Dr.Shein katika msiba wa Jumbe...Ujinga huu Lowassa anafaidi sababu kageuzwa mungu...hatahojiwa,kafutiwa dhambi na kuhani Tundu.
Hasira na uninafsi.
Wanachadema kwa sasa wamejengwa kwa falsafa ya hasira na ubinafsi,kuchukia yeyote mwenye fikra tofauti na wao...wamejibandika wao kuwa ndio wenye 'akili na maono'..kitu ambacho sicho,utofauti wa itikadi kisiasa sio uadui.
Ulimbukeni;
Hii ni tabia ambayo kwa sasa imetamalaki,wanachadema hasa vijana wameacha kufanya kazi zilizowapa kipato na kutaka kufanya siasa muda wote...kutengeneza mazingira kuwa wanaonewa nk....kila kijana bavicha anafikiri ili uwe mwanasiasa ni lazima mbunge!..
Uongo na upotoshaji
Wanachadema wamejengwa katika uongo na upotoshaji wa mambo mbalimbali...kutengeneza 'clip' kwa kukatiza ili kupotosha ujumbe wa kiongozi wa serikali....bila kujua kuwa uongo hukwepa ukweli.Kuetengeneza machafuko na uongo dhidi ya serikali na wakiitwa polisi hujipiga picha hadi selo kama njia ya kupata huruma za kisiasa...haya mambo hayadumu!
Hizi ni baadhi ya tabia ambazo kwa kweli zinadhalilisha wanaCHADEMA.
Upotoshaji hautakusaidia,polisi imeweka nguvu kupambana na watu ambao hawana madhara kwao!Hayo mazoezi wangefanya kupambana na wahalifu ikiwa ni pamoja na msako mkali!Sasa wao kutwa ni kusaka maduka yanayouza T-shirt za ukuta!Muda huo si wangetumia kusaka silaha zilizoko mikononi mwa wahalifu!Ni vema ikafika mahali Polisi wakaacha siasa na kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria!Polisi wamekuwa ni wakunasa taarifa za kiintelejensia kuwa mkutano fulani Lowassa au Mbowe atakuwepo na kwenda kufurumusha mkutano!Tufike mahali tuseme ukweli,Jeshi la polisi limepungukiwa weledi!Ona hata crime scene ya Jana,gari limezungushiwa utepe utafikiri limefungwa kamba!Kweli ndivyo walivyofundishwa namna ya kuanalyse crime scenes?Jeshi lijitafakari na lirudi kwenye majukumu yake kama miaka kadhaa iliyopita!Mwisho kwa dhati kabisa nawapa pole wafiwa na Jeshi kwa ujumla,sisi wananchi tutatoa ushirikiano wetu kwao kuhakikisha majambazi hayatetereshi usalama wa wananchi,nitoe wito kwao kuwa karibu na wananchi na pia kuwaona Raia ni ndugu zao!Polisi hawajawatisha chadema bali wamekataa kutoa kibali cha maandamano kwa sababu za kiusalama...sasa ukukataliwa jambo wewe unakuwa na gubu ukikubaliwa unajiona una 'akili'...tufike sehemu tukubaliane tu hata kwa maandishi yako haya tu inaonyesha tu kama Polisi wangekubali ukuta wasingeuwawa na kunyang'anywa silaha...na hii si mara ya kwanza kwa chadema kufurahia...hata mauaji ya polisi stakishari nk...nk...nk..Ila nimefarijika kwamba umekubaliana na hizo tabia za chadema japo unakiri ni sababu ya 'hasira'
Polisi wanajihujumu wenyewe. Ama ni kwamba hawana ujuzi wa kutosha, zaidi ya kuonea raia wasio na silaha hata fimbo!Kwa hiyo ni kwelimnahujumu polisi?
Raia wanaoonewa ni wanaukutani?....manake ni kama mnafurahia kisa mmenyimwa kuandamana ukutani?Polisi wanajihujumu wenyewe. Ama ni kwamba hawana ujuzi wa kutosha, zaidi ya kuonea raia wasio na silaha hata fimbo!
Mkuu inasikitisha...kwa tabia hizi ambazo WanaCHADEMA na viongozi wao wanazimiliki ni dhahiri sasa ni watu wanaotamani nchi itumbukie kwenye tafrani.Mtoa mada nakupongeza! Unayosema ni kweli tupu! Imagine hawa watu kila serikali inachokifanya wanakigeuza kionekene kibaya. Ndalichako jana watu wamemshambulia kisa siasa zimewaelemea kwa mioyo mibaya. Tumewafaamu waovu hao wabaya wa mioyo. Wanafikiri watanzania wanakipenda chadema na hao wapuuzi wanaoitwa eti viongozi wao lol!
Tutapambana nao humu kwenye mitandao wapuuzi na wapumbavu wakubwa !.
Hawana sera wamebakia demokrasia demokrasia wakati hawajui inafananaje kwenye hilo lichama lao la ukoo.
Mambumbumbu wafuasi wa chadema wasiojua hata hela yao ya ruzuku inaenda wapi. Wamejaa chuki, fitina, husuda, kijicho e.t.c wanatumiwa wavuruge nchi ili watu waje kuchota rasilimali za nchi hii.! Yaani mmenoa! Ilimradi Magufuli si fisadi kama mboye na Lowassa mtasubiri sana. Na hao wanaowatumia ili nchi ivurugike waje kuchota gesi yetu, madini yetu.!
Polisi hawajawatisha chadema bali wamekataa kutoa kibali cha maandamano kwa sababu za kiusalama...
Anayevunja katiba anapelekwa mahakamani na sio uhuni huu mnaoufanya.Kama maoni na criticism kila siku Lissu,Mbowe,Lowassa nk...wanaeleza,wanakosoa..nk....sasa sio kila hoja lazima iwe kweli, au sio lazima Raisi achukue mawazo yao...kuna mida utasikia wakisema ''Magufuli hasikii la mtu,hachukui ushauri wetu''...asikilize kutoka watu wangapi?...tubadilike...na hii tabia ya kuchukia hadi wananchi wengine wanaochagua viongozi tofauti na chadema,maana yake nini?Kunyoosheana vidole hakutasaidia taifa letu. acha lugha za kibaguzi. Kama taifa, tunahitaji Rais atakayeaunganisha watanzania wote. atakayesimama juu ya vyama vyote na kutuweka pamoja. Rais Magufuli alianza vizuri sana kwa kushughulika na yale yale ambayo wapinzani wamekuwa wakiyapigia kelele miaka nenda miaka rudi. mfano ni hili la safari za nje ya nchi. wakati huo mlikuwa mnawadharau wapinzani na kuwakebehi. leo Magufuli amelishughulikia hili watu wale wale mnampigia makofi. Mnafiki ni nani?
Wapinzani walisema wazi kabisa hawana tatizo na Magufuli kuchukua sera zao, kutekeleza yale wanayoyapigia kelele. na hapo wapo wengi waliosema kwamba wapinzani sasa watakosa sera. lakini Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuvunja katiba na sheria ya vyama vingi, kwa kupiga marufuku shughuli za vyama vya siasa, eti vinachelewesha maendeleo! hapo ndio wapinzani wamekuja juu na wanapinga kauli hiyo kwa nguvu zao zote. tatizo hapo liko wapi? huo ni ukweli dhahiri. na muungwana siku zote huukubali ukweli na kuukataa uwongo na unafiki.
Pamoja na mapungufu yote ya awamu ya JK, lakini umoja wa kitaifa ulikuwa juu sana kwa sababu wabunge wa CCM na wa upinzani waliweza kukaa pamoja na kufikia makubaliano katika kukabiliana na ufisadi wa Escrow. hiyo ndiyo tunahitaji. nchi hii ni yetu sote, kubaguana eti huyu mpinzani na yule mwanaccm, haitusaidii, ni kubomoa misingi ya taifa letu. Rais atatusaidia sana akijitahidi sana kuwa Rais wa wote - wanaccm, upinzani, wasio na vyama, wote. hiyo inawezekana kwa Rais kupokea sifa na pia kupokea "criticism". mawazo ya upinzani ni mazuri sana, mbona ameanza kuyatumia toka enzi za kampeni - Magufuli for change [M4C]? sasa mbona anajifanya hataki kuyasikia mawazo ya wapinzani? Anaogopa nini? na mbona ingekuwa vizuri sana kwake kuwaacha wapinzania waseme, halafu yeye anayatekeleza. Maana yeye ndiye mwenye serikali, anayekusanya kodi na kupanga matumizi. hapo mbona ndio angewamaliza kabisa tena kistaarabu na wao wangempigia makofi?
Chadema ni idadi ndogo sana ya raia....,mnajinasibu kwa propaganda kuwa raia....mbona hao raia hawakusubiri matokeo ya uchaguzi ndani ya mita 200?...eti chadema ndio raia wote wa Tanzania...Mkapa hakukosea!Sababu zipi za kiusalama?
Mara baada ya uchaguzi mlidai nchi haiko stable, na tukawaelewa sababu ya woga wenu kutokana na yale mliyofanya wakati wa uchaguzi mkuu 2015
Baadaye mkasingizia kipindupindu
Baada ya hapo mkasingizia ugonjwa usiojulikana Dodoma
Sasa hivi (most recently) Rais amedai kuwa amepiga marufuku kwa kuwa shughuli za kisiasa zinapoteza muda wa watu kufanya kazi. Anadai shughuli za kisiasa zinamzuia kufanya kazi (very very very strange (non-sane) reasoning). Kwa hiyo leo hii sababu si usalama. Namnukuu mkuu wa nchi "Kila siku mikutano, kila siku mikutano, sasa watu watafanya kazi saa ngapi"? (aliongea hivi wakati anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi 2015 na NEC)
Wewe hayo mambo ya sababu za kiusalama umeyapata wapi wakati hata huyo mtoa amri alishaachana nazo?
Kubalini tu kwamba sababu zenu za kuunga-unga hazitawafikisha popote. Mwisho wa siku mtajikuta mnatumia nguvu nyingi kwa raia huku wahalifu wakizidi kutamba.
Hakuna anayeshangilia. Hakuna afurahishwaye na kifo chake yeye afaye, ila ni angalizo tu kwa polisi. Uimara wao unatakiwa uonekane katika matukio ya kihalifu, na si vinginevyo. Nina hakika unaelewa ninachomaanisha.Raia wanaoonewa ni wanaukutani?....manake ni kama mnafurahia kisa mmenyimwa kuandamana ukutani?