Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Wanajamii heshima kwenu!
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kutokana na tabia na matendo ninayoshuhudia miongoni mwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya chama hicho kushindwa uchaguzi mkuu 2015. Ninalazimika kutolea maelezo baadhi ya tabia mbaya ambazo wafuasi na viongozi wa CHADEMA wanazikumbatia ambazo kimsingi zinawadhalilisha.
Husda/Husuda.
Kwa sasa wafuasi wa chadema ni kama vile wao sio watanzania...wanafurahia nchi ipate mabaya.Jana tar.23.8.2016...lilitokea tukio la mauaji ya polisi hjuko Mbande cha kusikitisha baadhi ya wafuasi wa chadema kupitia mitandao ya kijamii wamefurahia jambo hilo..eti wakijigamba ni malipo sababu polisi wamepiga marufuku ukuta. Si hilo tu utawasikia viongozi na wafuasi wa chadema wakisema 'nchi hii bila kuuana hatutaheshimiana'...''lazima tuchapane kama Burundi/Rwanda ndio heshima ije''...hizi ndio akili zao, tujiulize yakitokea haya je ni nchi gani kama wao wakiwa viongozi watatawala?..je wao familia zao si watanzania?
Fikra za utumwa.
Katika jambo ambalo Mbowe/Lowassa kafanikiwa kuwateka ni kuwawekea fikra kuwa wao ni watumwa/koloni.....utamsikia Mbowe akisema...''nataka niwakomboe makamanda''..nao wanafurahia. Alitakalo mjinga ndilo linalomtokea....wengi wa wafuasi wa chadema wanaishi kama watumwa...kifikra/kiuchumi/kisiasa nk....kwa sasa utawakuta wanasema ''bora Triump ashinde ili aje awaondoe watawala afrika''...akili mbovu hii...Mbaya zaidi hadi Profesa Baregu anasubiri ''kukombolewa'' na Mbowe au Lowassa...Naungana na Mwandishi,Mwanasiasa na Mwanadiplomasia Nguli aliyekuwa Raisi wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mh.Benjamini Mkapa aliyesema ''wanaofikiri nchi hii ni koloni hao ni malofa na wapumbavu''..ghafla watumwa hawa wakavaa fulana walizojiandika kuwa wao ni ''malofa na wapumbavu katika ubora''.
Kuabudu 'mazingaombwe'.
Moja ya tabia ambayo wamepandikizwa ni kuamini mazingaombwe ya kisiasa...na hapa lazima nikiri huenda Lowassa ndiye mwanamazingaombwe bora wa muda wote Tanzania kwani ndiye aliemtumia Sheikh Yahya kumpamba JK (2005-2010) sasa kahamia na siasa hizo za maajabu kazipeleka CHADEMA. Kujitwika 'unabii' kupitia mitume bandia,kujinasibu kwamba yeye ni zaidi ya serikali.....''niachieni kura za uraisi''...nk..nk..nk!,ICC,ICJ???
Ujinga na Rohombaya
Hii ni tabia ambayo kwakweli Lowassa kafanikiwa, kawatia ujinga....utakuta mtu ana PhD anasema mbele za watu...''ni bora nichague jiwe''..sasa ukichagua jiwe litakuwa Raisi?...upande wa pili wamepandikizwa chuki kuwachukia watu wengine hata kama ni ndugu zao wenye mtazamo tofauti kisiasa...baada ya uchaguzi tuliwasikia wakiapa....''sitarudi kijijini na sitatuma hela wala msaaada wowote kwa sababu chadema haijashinda kwetu'''...ujinga huu...au utamsikia Kubenea akiwaambia wabunge wenzake eti..''Mbunge wa chadema hjaruhusiwi kuzungumza,kuolewa...nk na mbunge wa CCM''..kwa hivyo kama mbunge wa CCM ana Kaka yake Mbunge wa chadema wasiongee...bure kabisa,....na hapa ndio mwendelezo wa Seif kutosalimia Dr.Shein katika msiba wa Jumbe...Ujinga huu Lowassa anafaidi sababu kageuzwa mungu...hatahojiwa,kafutiwa dhambi na kuhani Tundu.
Hasira na uninafsi.
Wanachadema kwa sasa wamejengwa kwa falsafa ya hasira na ubinafsi,kuchukia yeyote mwenye fikra tofauti na wao...wamejibandika wao kuwa ndio wenye 'akili na maono'..kitu ambacho sicho,utofauti wa itikadi kisiasa sio uadui.
Ulimbukeni;
Hii ni tabia ambayo kwa sasa imetamalaki,wanachadema hasa vijana wameacha kufanya kazi zilizowapa kipato na kutaka kufanya siasa muda wote...kutengeneza mazingira kuwa wanaonewa nk....kila kijana bavicha anafikiri ili uwe mwanasiasa ni lazima mbunge!..
Uongo na upotoshaji
Wanachadema wamejengwa katika uongo na upotoshaji wa mambo mbalimbali...kutengeneza 'clip' kwa kukatiza ili kupotosha ujumbe wa kiongozi wa serikali....bila kujua kuwa uongo hukwepa ukweli.Kuetengeneza machafuko na uongo dhidi ya serikali na wakiitwa polisi hujipiga picha hadi selo kama njia ya kupata huruma za kisiasa...haya mambo hayadumu!
Hizi ni baadhi ya tabia ambazo kwa kweli zinadhalilisha wanaCHADEMA.