kwanini wana jf wengi wanapenda post za mapenzi??

kwanini wana jf wengi wanapenda post za mapenzi??

Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.

Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!

Alichoongea ni ukweli. Kwa wanaume kukaa kujadili mambo ya kihisia nao ni ujinga. Wengi wenu ni mnaoshabikia magazeti ya udaku. Hivi umeshajiuliza uanapata faida gani kujua kama wema sepetu katongozwa na dayamond kama sio element za kike?

Kinachonisikitisha ni kwamba hata watu wenye hulka hizi nao wanapiga kura, matokeo yake mnatuchagulia rais kwa sura
 
Watanzania wengi hupenda vitu simple, visivyo umiza akili na wana jf wengi ni wa TZ wateja wa shigongo, ze komedi na Marlow
 
Kuna m2 asiyependa mapenzi?! ....... poa ngoja nihame niende nikaongeze maujuzi kuleeee kwa e2themiza.
POPOOOOO!
 
Kuongelea mapenzi is just another way ya kupunguza stress za maisha!
 
Njuka hao wa udsm msiwajibu ovyo jamani wanajaribu kujipooza na matatizo yao na mukandala kila siku
kazi mnayo mukandala afiiiiiiiiiiiii mnalo
 
Alichoongea ni ukweli. Kwa wanaume kukaa kujadili mambo ya kihisia nao ni ujinga. Wengi wenu ni mnaoshabikia magazeti ya udaku. Hivi umeshajiuliza uanapata faida gani kujua kama wema sepetu katongozwa na dayamond kama sio element za kike?

Kinachonisikitisha ni kwamba hata watu wenye hulka hizi nao wanapiga kura, matokeo yake mnatuchagulia rais kwa sura

Mkuu umemaliza kila kitu!
 
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????

Jambo lolote laweza kuwa vyovyote kutegea na akili inayolitazam jambo hilo.

Yaelekea akili yako inafikiria mapenzi kila wakati.
Safisha akili yako.

Akili akili akili.

Kwa mf kwa nini ukiona mtu anakata viuno ufikrie mapenzi na siyo mazoezi ya viungo yanayo lenga kuweka sawa sehemu ya mwili kiuno ili kuwa na afya njema? Au busu kuwa mazoezi ya kuimarisha afya ya akili na hisia na kuondoa mdororo wa akili?

Badilisha akili na mtazamo wako.

Let strieve to fit issues positively not fit ouselves into things or issues lightly.
Thats wht a great thinkers should think.
 
Back
Top Bottom