Kwanini Wana-CHADEMA wengi wao Wana jazba?

CHADEMA Wengi ni walevi,waizi,wanzinzi sana alafu hawajazaliwa wametokea tu duniani!
 
Makusudically sera ya CDM ni kuondoa wezi na Mafisadi wa CCM, walioleta umaskini kwa taifa letu!!
Wezi wa EPA, RICHMOND, ESCROW, MEREMETA, hutaki kuambiwa ukweli??
Siku za wezi zinahesabika!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mmezoea "zidumu fikra hata kama ni potofu za menyekiti" yaani mlete hata tu hoja zenu msipingwe? Tatizo lenu mnamwona kila mwenye hoja tofauti na pumba zenu kuwa ni adui

Hii ndio tofauti
 
Attachments

  • 1423626840339.jpg
    1423626840339.jpg
    19 KB · Views: 289
Utafiti uliofanywa na Taasisi zisizokuwa za Serikali , umebaini kuwa; Wanachama, wapenzi, wafuasi,wafurukutwa,wanaharakati, na hata baadhi ya viongozi, wengi wao wana hasira sana, ukiongea nao ukawabana maswali kidogo tu utawaona badala ya kujenga hoja au kujibu kwa hoja, badala yake utawasikia ama kuwaona wakitukana au kutoa lugha kama hizi; CCM wezi, Tutachukua nchi 2015, CCM ni mbumbumbu, Escrow, Epa, Richmond,n.k.

Mimi nimeuliza kwa mfano, Hivi Chadema inasera gani juu ya upatikanaji wa maji safi na salama na kwa bei nafuu, Je Chadema inasera gani ya kuboresha Elimu kwa Watanzania?, au Nini sera ya Chadema kuhusu kukmesha ujambazi Tanzania?

Lakini majibu ya wanachadema ni kutukana, kwenda Ikulu, kuzungumzia wizi wa Escrow, wanyama pori kuibiwa. Nilidhani wangesema sera yao ni ipi kuhusu kuzuia wizi wanaouongelea? Sasa nipeni jibu wana JF
.

Katika mazingira ya serikali iliyojaa mafisadi ni lazima kuzungumza kwa sauti kali kusisitiza jambo ili wananchi waone uchungu wa maovu ya serikali na kupata ujasiri wa kudai haki zao. Na wamefanikiwa sana mifano uko nchi nzima. Kuhusu sera mbadala subiri ilani ya uchaguzi.
 
nimekuwa nikifuatilia threads na comment nyingi hapa jf,
ikitokea member ametoa angalizo au warning kwa chadema basi inakuwa tabu,
wanachadema wanaona kama wanaonewa,hawajui kuwa challenge ni muhimu sana,
hawataki kushindwa,hawajui kukubali kutokubaliana,
kwa kweli sijaipenda hiyo style.

Mkuu Chagadema hujihisi wao ni vimalaika vidogo...na kikubwa ni kukurupuka kupinga kila kitu hata kama hajui anachopinga alimradi awe amepinga tu tena kwa kutumia jazba na nguvu nyingi..na hata ukimuuliza anachopinga nini mara nyingi huwa hawajui wanachopinga...kikubwa kwao iwe amesema Mbowe au Babu basiii kwa maana hao wawili ni manabii wao
 
Vurugu kubwa zimeibuka katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza. Vurugu hizo zilitokea jana asubuhi baada ya mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Misungwi Mansoor Mohamed na Katibu wa umoja huo Mohamed Nassoro kutwangana makonde hadharani kwa dakika zisizopungua kumi.

Mtanzania la leo lina stori zaidi.

"Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" -Pinda hivyo hivyo mtoto wa mwizi ni mwizi pia.. Vijana wanafuata nyayo!
 
Nimefuatilia kwa muda sasa na nimeshindwa kupata tofauti kati ya chadema na uamsho. hawa jamaa wote ni wakali sana na hutokwa povu kwa kila jambo hata ukiwakosoa kwa faida yao wao huanza kutukana matusi na kutoa vitisho.
Naomba kama kuna mtu anajua tofauti kati ya chadema na uamsho anipatie please

MKUU UAMSHO INA MAHUSIANO SANA NA DINI YA KIISLAMU NA INA SERA ZA KUTETEA UDINI, :smile-big:WAKATI CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA
 
nimekuwa nikifuatilia threads na comment nyingi hapa jf,
ikitokea member ametoa angalizo au warning kwa chadema basi inakuwa tabu,
wanachadema wanaona kama wanaonewa,hawajui kuwa challenge ni muhimu sana,
hawataki kushindwa,hawajui kukubali kutokubaliana,
kwa kweli sijaipenda hiyo style.

Kama madereva bodaboda
 
Maneno yao ya Jazba yanatokea pale wanapojaribu kuleta vitisho na kudhibitiwa, hawana sera mama ya maana wangeiga labor party cha UK, so CHADEMA wanacheza political game zaidi to win majority wanasahau kujenga hoja na kusimamia misingi ya sera zao, wanakwenda na matukio tu wakisikia escrow,Epa basi sera zinahama so wananchi bado hawajawaelewa WAPO KWA AJILI YA KUTAFUTA UMAARUFU NA MADARAKA :smile-big:
 
Nimefuatilia kwa muda sasa na nimeshindwa kupata tofauti kati ya chadema na uamsho. hawa jamaa wote ni wakali sana na hutokwa povu kwa kila jambo hata ukiwakosoa kwa faida yao wao huanza kutukana matusi na kutoa vitisho.
Naomba kama kuna mtu anajua tofauti kati ya chadema na uamsho anipatie please

CDM ni chama cha kisiasa chenye makao makuu DSM Vs Uamsho ni kikundi cha dini kilichopo hapo visiwani
 
nimekuwa nikifuatilia threads na comment nyingi hapa jf,
ikitokea member ametoa angalizo au warning kwa chadema basi inakuwa tabu,
wanachadema wanaona kama wanaonewa,hawajui kuwa challenge ni muhimu sana,
hawataki kushindwa,hawajui kukubali kutokubaliana,
kwa kweli sijaipenda hiyo style.

hawana tofauti na PANYA ROAD
 
nafikiri wana CHadema wenzangu hasa waliopo hapa Jf wana uelewa mdogo sana,nashauri uongozi wa Chama hasa John Mnyika na wengine wachukue hatua haraka sana
yaani kinachonishangaza hawataki kusikia Chadema inakosolewa,,,jamanieee Chadema nao ni binadamu tu kama sisi nao wana makosa jamani mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho????mimi ni Chadema damu kuliko nyie mnaonishambulia hapa acheni upunguani nyie watu,Molemo nakuita kwa jina acha ujinga kaka kubali kukosolewa""""""""""""""Tumaini Makeni upo wapi mbona kama kuna mambo ya kienyeji yanaendelea hapa???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Nadhani si Vyema kumuita Mwenzako ana uelewa Mdogo Kwa kuwa tu kawasilisha Jambo Amblo huenda kwa Mtazamo wako halijakaa sawa.
 
nafikiri wana CHadema wenzangu hasa waliopo hapa Jf wana uelewa mdogo sana,nashauri uongozi wa Chama hasa John Mnyika na wengine wachukue hatua haraka sana
yaani kinachonishangaza hawataki kusikia Chadema inakosolewa,,,jamanieee Chadema nao ni binadamu tu kama sisi nao wana makosa jamani mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho????mimi ni Chadema damu kuliko nyie mnaonishambulia hapa acheni upunguani nyie watu,Molemo nakuita kwa jina acha ujinga kaka kubali kukosolewa""""""""""""""Tumaini Makeni upo wapi mbona kama kuna mambo ya kienyeji yanaendelea hapa???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Ni pm kamanda
 
Nyosha maelezo wabadilikeje, mapungufu yapo hatukatai ila we unamaanisha mangufu yapi?
 
nafikiri wana CHadema wenzangu hasa waliopo hapa Jf wana uelewa mdogo sana,nashauri uongozi wa Chama hasa John Mnyika na wengine wachukue hatua haraka sana
yaani kinachonishangaza hawataki kusikia Chadema inakosolewa,,,jamanieee Chadema nao ni binadamu tu kama sisi nao wana makosa jamani mbona mnakuwa wajinga kiasi hicho????mimi ni Chadema damu kuliko nyie mnaonishambulia hapa acheni upunguani nyie watu,Molemo nakuita kwa jina acha ujinga kaka kubali kukosolewa""""""""""""""Tumaini Makeni upo wapi mbona kama kuna mambo ya kienyeji yanaendelea hapa???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Nimekuja kwa sababu umenitaja.

Ama kweli huyu Molemo amekuwa maarufu mpaka ameanzishiwa Thread.

Ha Ha Haaaa!!!
 
Back
Top Bottom