Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,850
- 50,567
- Thread starter
- #21
Kwa nini huwa mkiandika habari zinazomhusu Lissu mnakoseakosea?Ulivyo niona Juza ndivyo nilivyo leo mpaka kesho kutwa
ila ujue Tanzania nizaidi ya Lissu
kuwa lissu lissu anamsaidia nini Mtanzania wa kijijini Huyo!!
Tumepoteza Askari 11 Wanao linda maisha na Mali za watanzania mbona hamku laani kitendo hicho!