Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,543
Siku Lissu anashambuliwa CCM walitoa tangazo la kulaani kushambuliwa kwa Lissu. Lakini watu wengi humu walitilia shaka kama kweli CCM wanatoa pole kwa dhati ama wanatimiza wajibu tu. Wana CCM wengi sana hata humu JF walikuwa kabla ya Lissu kushambuliwa kwa Risasi, wanatamani Lissu ashikishwe adabu kwa njia yoyote ile hata kwa kunyongwa!
Leo taratibu imeanza kuonekana kumbe hata ile Pole ya chama chao iliyotolewa na Polepole , ilikuwa ni Geresha tu kwani mioyoni mwao bado wana inda na Lissu. Taratibu wameanza kuleta mabandiko kuonesha kwamba kuna uwezekano Lissu kashambuliwa na wabaya wake kwenye mambo ya sheria ama chama chake cha CHADEMA.
kuna jambo wana CCM wanajaribu kulifanya kwenye mitandao ya kijamii ili kuondoa shuku kwa chama chao kuhusika na mashambulizi dhidi ya Lissu. Huku mitaani ni wana CCM peke yao ambao wanaonesha hawajui ni kina nani hasa walikuwa na kiu ya kuona Lissu anaondolewa duniani kwa njia yoyote ile. Lakini watanzania wengi wanajua ni kina nani walikuwa wanatamini Lissu afe.
Lissu hajawa Tishio kwa yeyote yule ndani ya CHADEMA ila kila mwana CHADEMA kuanzia viongozi wa kitaifa wanamuona Lissu kwamba ni mjenga chama jasiri mwenye aina yake ya siasa kuliko wengi wao ndani ya CHADEMA. CHADEMA inamtegemea Lissu na wala Lissu haitegemei CHADEMA kuwa vile alivyo!
Kwanza wana CCM wana bahati kuwa viongozi wa CHADEMA huwa hawajibu uzushi unaoanzishwa nao hata kama una madhara kwa CHADEMA. CCM huko siku za nyuma walikuwa wanamhofia Mbowe peke yake, lakini tangu baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wanaoogopwa na CCM ndani ya CHADEMA wameongezeka!
Kuhusu Lissu inajulikana na ushahidi upo kwamba viongozi wa CCM kujiapiza kupambana naye kwa njia halali na haramu. Sasa leo hii kuleta uzushi kwamba CHADEMA ndiyo ingefaidika kwa kuuawa kwa Lissu ni upuuzi mtupu unaokuzwa na wale waliotaka Lissu afe kwa lengo la kupoteza watanzania maboya.HAMTAWEZA!