Kwanini wana CCM wako bize kuzusha kuhusu Lissu?

Kwanini wana CCM wako bize kuzusha kuhusu Lissu?

Mtoa post unapouliza hilo swali usisahau kujiuliza pia kwa nini CHADEMA wanalihusisha hili swala na serikali na wanataka dunia nzima tuwaamini wakati hata uchunguzi haujakamilika.
 
Hujachoka wewe, ungekuwa umechoka hata usingefungua huu uzi!
Huyo ni choko wewe, kachoka vibaya mno!
Yaani ni kwa vile alishakunywa maji ya bendera ya kijani ambayo huwa yanababua akili na medula kiujumla basi ufahamu hana tena!
Mtazame polipoli alivyobabuka na kunyonyoka nywele, wewe unadhani akili zake zipo salama?
 
Back
Top Bottom