Kwanini wana CCM wako bize kuzusha kuhusu Lissu?

Siku Lissu anashambuliwa CCM walitoa tangazo la kulaani kushambuliwa kwa Lissu. Lakini watu wengi humu walitilia shaka kama kweli CCM wanatoa pole kwa dhati ama wanatimiza wajibu tu. Wana CCM wengi sana hata humu JF walikuwa kabla ya Lissu kushambuliwa kwa Risasi, wanatamani Lissu ashikishwe adabu kwa njia yoyote ile hata kwa kunyongwa!

Leo taratibu imeanza kuonekana kumbe hata ile Pole ya chama chao iliyotolewa na Polepole , ilikuwa ni Geresha tu kwani mioyoni mwao bado wana inda na Lissu. Taratibu wameanza kuleta mabandiko kuonesha kwamba kuna uwezekano Lissu kashambuliwa na wabaya wake kwenye mambo ya sheria ama chama chake cha CHADEMA.

kuna jambo wana CCM wanajaribu kulifanya kwenye mitandao ya kijamii ili kuondoa shuku kwa chama chao kuhusika na mashambulizi dhidi ya Lissu. Huku mitaani ni wana CCM peke yao ambao wanaonesha hawajui ni kina nani hasa walikuwa na kiu ya kuona Lissu anaondolewa duniani kwa njia yoyote ile. Lakini watanzania wengi wanajua ni kina nani walikuwa wanatamini Lissu afe.

Lissu hajawa Tishio kwa yeyote yule ndani ya CHADEMA ila kila mwana CHADEMA kuanzia viongozi wa kitaifa wanamuona Lissu kwamba ni mjenga chama jasiri mwenye aina yake ya siasa kuliko wengi wao ndani ya CHADEMA. CHADEMA inamtegemea Lissu na wala Lissu haitegemei CHADEMA kuwa vile alivyo!

Kwanza wana CCM wana bahati kuwa viongozi wa CHADEMA huwa hawajibu uzushi unaoanzishwa nao hata kama una madhara kwa CHADEMA. CCM huko siku za nyuma walikuwa wanamhofia Mbowe peke yake, lakini tangu baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wanaoogopwa na CCM ndani ya CHADEMA wameongezeka!

Kuhusu Lissu inajulikana na ushahidi upo kwamba viongozi wa CCM kujiapiza kupambana naye kwa njia halali na haramu. Sasa leo hii kuleta uzushi kwamba CHADEMA ndiyo ingefaidika kwa kuuawa kwa Lissu ni upuuzi mtupu unaokuzwa na wale waliotaka Lissu afe kwa lengo la kupoteza watanzania maboya.HAMTAWEZA!

Nani ameanza. Embu kuwa mkweli
 
......
.....kuna moja kaandika Uzi wa kishetani mods wameutupilia mbali muda huu
 
Ccm imegeuka kuwa genge la wanyang'anyi na wahuni, inasikitisha sana.

Tuipende nchi yetu Tanzania.
 
Ni kweli kuna namna watu wamepanick, nadhani kwa kukosa taarifa wanazotaka. Kumetokea uzushi mwingi, hali inayoonyesha watu flani kushikwa pabaya kiaina. Kuna mtu kaanzisha thread na kuzusha kuwa hali ya Lissu ni mbaya sana, nadhani akichokonoa ili achote data. Mwingine alikuja humu analalamika eti hawaruhusiwi kumuona dereva wa Lissu, sasa najiuliza wanamtakia nini kama siyo kutaka kum corrupt? Haya, mwingine akaja akasema Lissu hajapigwa risasi, eti kwasababu shati alilokuwa amelivaa akiwa bungeni, siyo lile alilokuwa amebeba dereva lilokuwa na damu, bali lilikuwa pembeni ya kichwa cha Lissu alipokuwa amebebwa kwenye kitanda cha hospitali. WTF? Yani ni kama mtu au watu walianzisha threads kwa kutaka tu kuchota taarifa.

Yani vitu hata havimake sense vinavyoonyesha kupanick flani hivi.
 
CCM na kina Bashite ndio wahusika wakuu..... Maana ndio wamiliki wa kila kitu.... BEN SAANANE kuikosoa PHD ya Mwenyekiti wao..... Ametoeka.
 
Hivi kumtuhumu mtu na kumuita mjina ya kukera kama mnafiki na msaliti ni kosa la jinai?
Kama ni kosa hivi vyombo vya dola havimsomi huyu motochinj humu anavyomkaraisha majeruhi wa risasi nyingi?
Nirudi kwenye hoja ya msingi na kuchangia hivi:-
Ccm ina wenyewe na wenyewe sio baba na mamako kule kijijini bali ni wale nec na cc ambayo ina watu waaizidi kumi. Hawa ndio think tank wa jumba jeupe na hakuna kinachotokea wala kufanyika pasi na wao kujua siku na wakati.
Hawa waliomo humu wanakalishwa kwenye birika la kahawa na kusimuliwa cja kuja kuandika humu. Wale wepesi wanajificha hawaji kama jerry muro bali kwa staili ya vuta nikuvute!
Wanajua walichofanya so wanakuja kulialia humu ili kutupumbaza! Hatupumbaziki zaidi ya ninyi kujidanganya kuwa hamjulikani!
 
Kama wanalipiwa bando
Unadhani nini watafanya
 
Siku Lissu anashambuliwa CCM walitoa tangazo la kulaani kushambuliwa kwa Lissu. Lakini watu wengi humu walitilia shaka kama kweli CCM wanatoa pole kwa dhati ama wanatimiza wajibu tu. Wana CCM wengi sana hata humu JF walikuwa kabla ya Lissu kushambuliwa kwa Risasi, wanatamani Lissu ashikishwe adabu kwa njia yoyote ile hata kwa kunyongwa!

Leo taratibu imeanza kuonekana kumbe hata ile Pole ya chama chao iliyotolewa na Polepole , ilikuwa ni Geresha tu kwani mioyoni mwao bado wana inda na Lissu. Taratibu wameanza kuleta mabandiko kuonesha kwamba kuna uwezekano Lissu kashambuliwa na wabaya wake kwenye mambo ya sheria ama chama chake cha CHADEMA.

kuna jambo wana CCM wanajaribu kulifanya kwenye mitandao ya kijamii ili kuondoa shuku kwa chama chao kuhusika na mashambulizi dhidi ya Lissu. Huku mitaani ni wana CCM peke yao ambao wanaonesha hawajui ni kina nani hasa walikuwa na kiu ya kuona Lissu anaondolewa duniani kwa njia yoyote ile. Lakini watanzania wengi wanajua ni kina nani walikuwa wanatamini Lissu afe.

Lissu hajawa Tishio kwa yeyote yule ndani ya CHADEMA ila kila mwana CHADEMA kuanzia viongozi wa kitaifa wanamuona Lissu kwamba ni mjenga chama jasiri mwenye aina yake ya siasa kuliko wengi wao ndani ya CHADEMA. CHADEMA inamtegemea Lissu na wala Lissu haitegemei CHADEMA kuwa vile alivyo!

Kwanza wana CCM wana bahati kuwa viongozi wa CHADEMA huwa hawajibu uzushi unaoanzishwa nao hata kama una madhara kwa CHADEMA. CCM huko siku za nyuma walikuwa wanamhofia Mbowe peke yake, lakini tangu baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wanaoogopwa na CCM ndani ya CHADEMA wameongezeka!

Kuhusu Lissu inajulikana na ushahidi upo kwamba viongozi wa CCM kujiapiza kupambana naye kwa njia halali na haramu. Sasa leo hii kuleta uzushi kwamba CHADEMA ndiyo ingefaidika kwa kuuawa kwa Lissu ni upuuzi mtupu unaokuzwa na wale waliotaka Lissu afe kwa lengo la kupoteza watanzania maboya.HAMTAWEZA!
chadema wapo bize kufanyeje
 
Damu ya Lissu itawatesa sana hawa mafisiem na kamwe haitawaacha salama.
 
walikuwa kabla ya Lissu kushambuliwa kwa Risasi, wanatamani Lissu ashikishwe adabu kwa njia yoyote ile hata kwa kunyongwa!
Nipe vielelezo vya hili kwanza kisha tuendelee, bila kuleta vielelezo vya hili nitaendelea kuitambua post yako kama CRAP
 
Back
Top Bottom