Kwanini wamama mnatutesa vijana?

Rubbish

Wapi tulikaa vijana tukakubaliana kuwa tunateswa mpaka uongelee nafsi zetu.

Jimama linanitoa pesa za kuishi mjini then unaleta ujinga unataka nife njaa
 
... leo 08/03 ni siku yao na shughuli inafanyika pale Mlimani City - Dar es Salaam. Nenda pale ukahoji utapata majibu mujarabu kuliko hapa JF.
 
Wanataka kukufunzeni ufundi tena mnalalama mkinyima mnalia sasa lipi jema wawafanyie ninyi vijana? [ mengi magonjwa msione tu mteremko mkaona mnafaidi 😁 😁 😁 ]
 
Huu ni uongo. Mbona mi sina hayo majimama?
 
umri wa kuwa mtu mzima unaanzia miaka 18. hao wote ni watu wazima sijui kipi kinakushangaza.... wangekuwa wanatembea na watoto sawa ila hao ni watu wazima. acha wivu.
 
Acha uongo wewe. Ni sawa na yule anayedanganya wanawake wapo wengi duniani wakati mm similiki hata mmoja.
 
Rubbish

Wapi tulikaa vijana tukakubaliana kuwa tunateswa mpaka uongelee nafsi zetu.

Jimama linanitoa pesa za kuishi mjini then unaleta ujinga unataka nife njaa
Bora utafute bwana kabisa alete posa uwekwe ndani uwe unakaangiza tu
 
Bora utafute bwana kabisa alete posa uwekwe ndani uwe unakaangiza tu
Bwana na Jimama wana uhusiano gani unafosi kuwa na Point Au huyo bwana nutamgonga Kama navyomgonja jimama kama itakuwa hivyo njoo.
 
Acha kutuingilia kwenye mambo yetu

Nina moja hilo ni single maza linanipenda balaa kuliko hata demu wangu na lina wivu hilo halina mizinga outing mpaka guest linalipa halijawahi niomba hela

Uzuri na mimi ninazo pesa siku moja nalipia mitoko yaani nilifundi balaa nafanyiwa kila utundu lina mpapuchi umetuna umenona yaani nashindwa kumuacha hilo jimama


Yaani yabarikiwe kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…