Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
kuduman201036 amemaliza kila kituUmenena kiongozi,mtaani huku hakuna GPA hakuna cha chuo,,,,ni kuchanganya akili tu
kuduman201036 amemaliza kila kituUmenena kiongozi,mtaani huku hakuna GPA hakuna cha chuo,,,,ni kuchanganya akili tu
Kuna vigezo vingi.mfano vyuo vya advanced diploma vilianzishwa kwa lengo la kupata nguvu kazi ya kutosha na pia vikadaili hata watu wenye vigezo km vya shahada.utofauti unakuja km vile idadi ya wahadhiri,mamlakA inayovisimamia nk.Is advanced diploma synonymous to Bachelor! Kwa nini kuwe na vyuo vya advanced na University zinazotoa bachelor Degree
Mwimbili??????? Ndio chuo gani hikoMwimbili, Sua pamoja na Ardhi for now ni universities zinazojitegemea lakini nazo zilikua ni School au idara au constituent colleges baada ya kujikamilisha kwa resource zote ndio zikajitenga. Hope sasa umeelewa kwa nini mwanafunzi anasema nimemaliza UDSM na sio DUCE au MUCE?
Cheti hicho hapo kwa wote.Vyeti vyao vinaonesha vimetolewa na Chuo kipi?
Hicho ni cheti wanachopewa MUCE na DUCE sambamba na college zote pale mlimani.
Kwa akili yako unaona sehemu iliyoandikwa DUCE ua MUCE hapo?
Transcript ndo emebainisha college husika kwa kila mhitimu.
Deal na chuo chako, roho isikutoke kwa wana UDSM.
View attachment 395536
Umesema ni SCHOOL?MUCE,DUCE,SJMC n School zilizoko nje ya Main Campus ya UDSM. Ila wote ni wanafunzi wa UDSM
MKUU HAKUNA KUBISHANA NA WATU WA AINA HYO,WANATAKA TU WATU WAONGEE WAONEKANE WABAYAUkitaka kujua kuwa hawakosei angalia hata hao wanafunzi waliochaguliwa Duce na muce, majina yao yapp link moja na waliochaguliwa main compas, hizo ni college tu kama udbs na coet , but chuo ni udsm
Kutokujiamini tu....afu main campus ni heshima kubwa sana ukiwa unasoma pale. Kuna jamaa angu mmoja alinitembelea cku mmoja kutoka Duce pale mlimani. Aiseee.....alishangaa sana namna shule ilivyoo. ....even wearing style ya main campus....! Jamaa alijua yuko ulaya. .....Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha thread kinavyojipambanua kwa nini hawapendi kujitambulisha kwa kutaja majina halisi ya branch zao?
Mwenye kujua sababu tafadhali tiririka kidogo
duh mkuu,wew ni muongo balaa dunia nzma mbna hakuna tofaut isitoshe wote wako mkoa mmoja.Kutokujiamini tu....afu main campus ni heshima kubwa sana ukiwa unasoma pale. Kuna jamaa angu mmoja alinitembelea cku mmoja kutoka Duce pale mlimani. Aiseee.....alishangaa sana namna shule ilivyoo. ....even wearing style ya main campus....! Jamaa alijua yuko ulaya. .....
Muhimbili ni chuo ambacho tayari kinajitegemea kabisa, hakiko chini ya UDSM tena kama ilivyo Bugando ambayo haiko tena chini ya SAUT. Kuhusu DUCE na MUCE, hizo ni university colleges ambazo ziko chini ya UDSM.Nchi hii kuna watu wengi hawajielewi, hao wanaosoma hivyo vyuo wengi wao hawakujua hata nini watasoma baada ya A Level. Wengi wao hawa ni majanga na hawajiamini. Kwani akisema kuwa anasoma DUCE au Mkwawa anafikiri heshima itapungua? Chuo cha afya muhimbili nao walikuwa na element hizohizo kabla hawajajitambua na kujikubali. Kwa sasa wameshajitambua na wanajiamini. Hawa nao ipo siku watajitambua tu, pengine ni sababi ya ujinga na ushamba unawasumbua.
Ss alijuboa nn wakati alikuea sahihi!?Chili suala lipo sana.. Kuna dogo alifaulu kuja Chuo akaniambia anakuja UDSM...nikajua yess.. Nmepata mbebaji.. Siku anafika ati anadai ati ye amechaguliwa UDSM tawi la DUCE..
Kaliniboa
hahahahahah noumaa san hiyo mkuuu huhuhuhHivi ni vyuo vya kipuuzi tu ndiyo maana hawataki kujinasibu navyo. Kuna mmoja amenikaba koo humu kuwa ana div 2 alikwenda ualimu, na amepata 2ND UPPER alipomaliza DUCE. Nikamuuliza DUCE mbona ni kama chuo cha Advanced diploma, walimu waliobobea wamewatoa wapi? Ni wale wale waliokuwa wanafundisha diploma, sasa lecturers waliobobea wanatoka wapi? Akanitukana.
Kwa sababu wao pia ni UDSM.Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha thread kinavyojipambanua kwa nini hawapendi kujitambulisha kwa kutaja majina halisi ya branch zao?
Mwenye kujua sababu tafadhali tiririka kidogo
Kutokujiamini tu....afu main campus ni heshima kubwa sana ukiwa unasoma pale. Kuna jamaa angu mmoja alinitembelea cku mmoja kutoka Duce pale mlimani. Aiseee.....alishangaa sana namna shule ilivyoo. ....even wearing style ya main campus....! Jamaa alijua yuko ulaya. .....
cha msingi lazima akubali alipo kwani akisema duce au muce atakufa?nawaonaga wengi hawataki kukiri walipo,tatizo hawajiamin ingawa ukweli ni kwamba waliopo main campus yaan mliman wanaufaulu mkubwa kuliko hao matawini(wengi wao)Mtoa mada inaelekea hujui chocho kuhusu chuo na udsm in particular kaa kimya .huwez ulizwa umesoma chuo gani ukasema Muce au duce hapa hujaelewA swali.Acha dhalau hapo unaonyesha jinsi ulivyo na IQ ndogo kiasi cha nusu KB