Kwanini walimu wengi wanaolewa kulinganisha na sekta zingine

Kwanini walimu wengi wanaolewa kulinganisha na sekta zingine

1.kama anaweza kulea watoto wa wengine basi wangu atalea.
2.Ana likizo nyingi ambazo zitamfanya ashinde nyumbani(June,Septemba, December na april).
3.Fursa za mikopo
 
Wengi wanajielewa,sijasema wote ila wengi,pia nature ya kazi yao huwa hawana muda mwingi wa kukaa vijiweni kupiga story kama Salon,Bar n.k.ambapo wengi wanaharibikia huko...
 
Ke ndiyo wanaolewa tena na kada nyingine si Mwl kwa Mwl nao wanakimbiana, na me wanasota sana kwenye swala la kuoa mapema wanaishia kula watoto wanao wafundisha
 
Wengi wanajielewa,sijasema wote ila wengi,pia nature ya kazi yao huwa hawana muda mwingi wa kukaa vijiweni kupiga story kama Salon,Bar n.k.ambapo wengi wanaharibikia huko...
Akikaa kijiweni notice za wanafunzi wake ataandaa sangapi!
 
Elimu..elimu elimu.weng hawajielew wao wanaona ndoa ndo maisha ..yaan ndo wamemaliza.. goals...life goals...

Walimu hata chuo pale...yaan ukimuona tu unajua huyu ni mwalim...huyu bcom..huyu sheria..yaan kiufup walimu ni wanyonge sana
 
Back
Top Bottom