Kwanini walimu wengi wanaolewa kulinganisha na sekta zingine

Kwamba hili nalo linahitaji utafiti?
Unafikiri halihitaji utafiti? Walimu ni wengi kwa ujumla wao ukilinganisha na kada zingine. Sio sawa kuja na hitimisho la moja kwa moja kwamba walimu wanaolewa zaidi kuliko wahandisi au madaktari.

Unapaswa kujiuliza, je ktk kila madaktari kumi wa kike ni wangapi wapo ktk ndoa ukilinganisha na hao hao walimu 10 pia? Utashangaa majibu yanaweza kuja tofauti na unavyodhani wewe.

Collectively, ni kweli walimu wanaonekana wanaolewa zaidi kwa ssb ni wengi ila ukifanya utafiti ndani ya kundi pekee la walimu dhidi ya kada moja moja zingine majibu yanaweza kuja tofauti kabisa.

Mfano; unaweza kwenda halmashauri ya Misenyi ukakuta kuna madaktari 10 wa kike na wote wameolewa ila hapo hapo ukaangalia walimu wa kike ukawakuta 100 ila ni 65 tu wameolewa. Hitimisho, Madaktari wanakuwa na asilimia 100 ya kuolewa ukilinganisha na asilimia 65 tu ya walimu kwa Misenyi. Hoja yangu hapa angalia asilimia sio ukubwa wa idadi.
 
Mbona Me wanamwaga na kukataliwana idara nyingine.
Wanyonge, hawana mzunguko mkubwa wa pesa bora kupata tuuu maisha yao.
 
Kwa mujibu wa wizara ya elimu mpaka kufikia mwaka 2016 Tanzania tulikuwa na idadi ya walimu 332,748. Hii ni zaidi ya 70% ya watumishi wote wa umma na zaidi ya asilimia 50% ukijumuisha na sekta binafsi.

Takwimu kama hizi haziwezi kukupa taswira halisi kama utaziangalia haraka haraka. Kwa kifupi ktk kila wanawake 100 nchini Tanzania kuna asilimia kubwa ya kupata walimu zaidi ya 50 hapa ukijumuisha taaluma zingine zote kuanzia udaktari, uchumi, biashara, uhandisi, sanaa, muziki n.k

Kwa maoni yangu unapotaka kugundua jambo kupitia takwimu kama hizi tumia njia ya kuwatenganisha kimakundi yaani walimu waweke peke yao na kada nyingine fanya hivyo hivyo halafu ndio uje na hitimisho.

Utashangaa kuona labda ukiweka walimu pekee yao walio ktk ndoa wanaweza kuwa ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na madaktari. Yaani ktk kila madaktari 10 utakuta 8 wana ndoa ila kwa walimu ktk kila walimu 10 ni wanne tu wenye ndoa.
Nadahani hukumuelewa vizuri mleta maada.

Kwa mujibu wa utafiti wao walifanya kama ulivyosema
Yaani walichukua kila kada na idadi ya wahusika ndio wakawatafutia asilimia

Ndio maana kwa mujibu wa mleta maada amesea 90% ya walimu walikuwa wameolea na ndio walioongoza kwa mujibu wa makundi yao
Na kuna kundi lilikuwa la mwisho lenye 25% tuu ya watu wake walikuwa wameolewa
 
Ukitegemea kujenga maisha ya ndoa kwa kujivunia kasi ya gurudumu lako la pesa asubuhi tuuu ushafeli

Watu wenye mzunguko wa pesa huwa wanaweka akili yao kando ya kujenga familia wanaiachia pesa iwajengee ndoa. Matokeo yake ndhani huwa unaona matunda ya pesa zako ni kupata ka mwanaume kenzio
 
Walimu n watu poa sana nenda vyuo vyote vikuu vikubwa nchi hii utagundua campus za walimu zina nguvu sana spiritual yani n watu wako na Mungu vizuri ( sio wote )
+ ethics za kulea vizuri
Last month usiku tuko kwenye party ya mwenzetu mmoja katika wageni tukatambulishana kila mtu anasoma nini, mmoja anasoma Edu. Huyo kuna vitu alikuwa hafanyi anasema "ni kinyume na maadili ya taaluma yangu"
 
Katika shule yetu ina walimu 9 wa kike waliolewa ni 4.Ila kwa uzoefu nilionao walimu waliolewa hawafiki asilimia 50 katika halmashauri yetu kwan hawadumu katika ndoa
 
Nadahani hukumuelewa vizuri mleta maada.

Kwa mujibu wa utafiti wao walifanya kama ulivyosema
Yaani walichukua kila kada na idadi ya wahusika ndio wakawatafutia asilimia

Ndio maana kwa mujibu wa mleta maada amesea 90% ya walimu walikuwa wameolea na ndio walioongoza kwa mujibu wa makundi yao
Na kuna kundi lilikuwa la mwisho lenye 25% tuu ya watu wake walikuwa wameolewa
Mimi nime-challenge tu hoja ya mleta mada ila hakuambatanisha huo utafiti hapa na ndio ssb iliyonifanya nihoji. Hizo asilimia hakusema walitumia njia ipi kuzipata.

Binafsi pia naamini ualimu ni taaluma pekee inayomfanya mwanamke awe na nidhamu ukilinganisha na wengine wote. Japo mimi napendelea zaidi mama wa nyumbani mwenye shughuli binafsi simple simple tu kama academic/article writing.
 
Kwa mujibu wa wizara ya elimu mpaka kufikia mwaka 2016 Tanzania tulikuwa na idadi ya walimu 332,748. Hii ni zaidi ya 70% ya watumishi wote wa umma na zaidi ya asilimia 50% ukijumuisha na sekta binafsi.

Takwimu kama hizi haziwezi kukupa taswira halisi kama utaziangalia haraka haraka. Kwa kifupi ktk kila wanawake 100 nchini Tanzania kuna asilimia kubwa ya kupata walimu zaidi ya 50 hapa ukijumuisha taaluma zingine zote kuanzia udaktari, uchumi, biashara, uhandisi, sanaa, muziki n.k

Kwa maoni yangu unapotaka kugundua jambo kupitia takwimu kama hizi tumia njia ya kuwatenganisha kimakundi yaani walimu waweke peke yao na kada nyingine fanya hivyo hivyo halafu ndio uje na hitimisho.

Utashangaa kuona labda ukiweka walimu pekee yao walio ktk ndoa wanaweza kuwa ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na madaktari. Yaani ktk kila madaktari 10 utakuta 8 wana ndoa ila kwa walimu ktk kila walimu 10 ni wanne tu wenye ndoa.
Wewe utakuwa mtakwimu
 
Ukitegemea kujenga maisha ya ndoa kwa kujivunia kasi ya gurudumu lako la pesa asubuhi tuuu ushafeli

Watu wenye mzunguko wa pesa huwa wanaweka akili yao kando ya kujenga familia wanaiachia pesa iwajengee ndoa. Matokeo yake ndhani huwa unaona matunda ya pesa zako ni kupata ka mwanaume kenzio
Pole ticha, jibu kwanini walimu wa kiume wanashindwa kuowa kada zingine.Achana na mambo ya ushauri wa kuvunjika ndoa kwanza tuijenge alafu ndiyo ivunjike.
 
Kwa mujibu wa wizara ya elimu mpaka kufikia mwaka 2016 Tanzania tulikuwa na idadi ya walimu 332,748. Hii ni zaidi ya 70% ya watumishi wote wa umma na zaidi ya asilimia 50% ukijumuisha na sekta binafsi.

Takwimu kama hizi haziwezi kukupa taswira halisi kama utaziangalia haraka haraka. Kwa kifupi ktk kila wanawake 100 nchini Tanzania kuna asilimia kubwa ya kupata walimu zaidi ya 50 hapa ukijumuisha taaluma zingine zote kuanzia udaktari, uchumi, biashara, uhandisi, sanaa, muziki n.k

Kwa maoni yangu unapotaka kugundua jambo kupitia takwimu kama hizi tumia njia ya kuwatenganisha kimakundi yaani walimu waweke peke yao na kada nyingine fanya hivyo hivyo halafu ndio uje na hitimisho.

Utashangaa kuona labda ukiweka walimu pekee yao walio ktk ndoa wanaweza kuwa ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na madaktari. Yaani ktk kila madaktari 10 utakuta 8 wana ndoa ila kwa walimu ktk kila walimu 10 ni wanne tu wenye ndoa.
Hili ndo jibu sahihi.
 
Kuna project tulikuwa tunaifanya ambayo tulikuwa tunazunguka sekta karibia zote. Cha ajabu sekta ya ualimu asilimia kubwa wameolewa ukilinganisha na sekta nyingine, kipi kinafanya waalimu wawe na soko sana tofauti na kada zingine?
Mara ya mwisho walimu walikuwa na 90% ya idadi ya walioolewa wakati sekta ya mwisho ilikuwa bank walikuwa na 25%
What is the reasons behind hii kitu wajameni??
Mimi nataka kuoa MwanaJeshi.

Maombi yako tafadhali😎😎😎.
 
Kuna rafiki yangu huyo, yeye alishatia nia kitambo kuwa atao mwalimu

Sijui kwa nini?
 
Kuna project tulikuwa tunaifanya ambayo tulikuwa tunazunguka sekta karibia zote. Cha ajabu sekta ya ualimu asilimia kubwa wameolewa ukilinganisha na sekta nyingine, kipi kinafanya waalimu wawe na soko sana tofauti na kada zingine?
Mara ya mwisho walimu walikuwa na 90% ya idadi ya walioolewa wakati sekta ya mwisho ilikuwa bank walikuwa na 25%
What is the reasons behind hii kitu wajameni??
Wanataka walinde heshima zao mbele ya jamii.
 
Back
Top Bottom