Kwanini Walimu wanatongoza Wanafunzi??!!

Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.

1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??

Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!

Unategemea wale wapi? Siku hizi kila mtu anakula kazini kwake! Mshahara wa Mwalimu mdogo sana, hawezi kwenda kutafuta wanawake wa 100,000/= kwa siku wakati anao wa chips mayai mawili karibu kabisa na yeye!

BTW: Watoto wa shule kufanya ngono siku hizi ni kawaida tu - Jana pale Kingstar niliwaona kama kumi hivi wakiwa wanapiga BEER na kupelekwa GUEST kimtindo - Na hao waliokuwa nao siyo walimu!
 
Msilaumu walimu wa siku hizi tu kwani haya mambo yalikuwepo toka zamani,kwani yule katibu mkuu wa chama fulani si na yeye anatuhumiwa kumtia mimba mwanafunzi wake miaka hiyo ya 47?Nitarudi kuelezea zaidi with my experience cause I `ve been a teacher in International schools and Government schools.

HIVI TANZANIA KUNA INTERNATIONAL SCHOOLS NGAPI....?
NI swali tu mwalimu mwenzangu....JUST TO BE FAIR...!
 
wakiwa na tamaa ndo nini sasa?
wanabaka walimu wao?

Wanawatega. We si binti? nina uhakika unajua jinsi gani mabinti (baadhi.....) wanavyojua kutega.

Baada ya kumaliza form six hapo zamani za kale niliamua kufundisha wanafunzi (form II & III). Weeee, ni roho ngumu tu ila ''mitego'' ilitaka kuniua!
 
so kutegeka kule si kwa sababu ye dent we tcha ni swaga tu za kishetan km vile ambavyo mtoto anaweza kumtega bnt dng yake.
 
Unategemea wale wapi? Siku hizi kila mtu anakula kazini kwake! Mshahara wa Mwalimu mdogo sana, hawezi kwenda kutafuta wanawake wa 100,000/= kwa siku wakati anao wa chips mayai mawili karibu kabisa na yeye!

BTW: Watoto wa shule kufanya ngono siku hizi ni kawaida tu - Jana pale Kingstar niliwaona kama kumi hivi wakiwa wanapiga BEER na kupelekwa GUEST kimtindo - Na hao waliokuwa nao siyo walimu!

sema kiongozi,
nayaamini sana macho yako,
huwa yanaona kwa kufanya upembuzi yakinifu!!!!!
 
ENG. smasher....ni vyema tukapata kwanza idadi ya hizo shule ndo tuanze kuziporomeshea lawama ama sifa.....!
 
Habari wana JF!!!
Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana.

1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana??
2. UALIMU siku hizi sio WITO??
3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI??
4. Walimu wengi HAWAJAOA??
5.WANAFUNZI wa siku hizi WANATEGA sana au WANAJIRAHISISHA kwa WALIMU??

Maoni yenu tafadhali coz siku hizi wanafunzi wa KIKE wanaharibikia MASHULENI!!

Mkuu hii ishu umeibana sana kwa waalimu, lakin ukiipanua itaenda mpaka kwa mabosi na masekretari, maprofesa vyuo vikuu na wasomi wetu, mababa wenye nyumba na mahausi gal, wafanyakazi wa kike wanapoomba kazi kwa waajiri wa kiume n.k.
 
nidhamu ya kazi imeshuka,nidhamu za watoto zimeshuka,nidhamu ya jamii nayo imeshuka kiujumla sababu kubwa ni mazingira na ukiangalia sehemu kubwa ni vijijini kwa sasa hv na viboko vimefutwa so mwanafunzi amekua jirani sana na mwalimu ndio maana lolote linatokea!!
 
Ndugu yangu,

Mwalimu ambaye hana Maadili ya Ualimu ndiye ambaye anawafanyia wanafunzi/watoto wake,mambo machafu,

Lakini zamani ualimu ulikuwa ni wito,na wito ulikuwa unaendana na Mtu mwenye Maadili Mema katika jamii,

Ushauri wangu ni kwamba tujenge kizazi chenye Maadili Mema.Na waalimu wa siku hizi wengi ni wale ambao walishindwa shule na kuupata ualimu kwa kupitia mlango wa nyuma yaani kwa kutumia vyeti badia,na mtu kama huyo unatarajia nini kutoka kwake.

Tatizo la vyeti bandia ni janga la kitaifa sio walimu pekee.
 
Nafikiri tuanze na mapdre, mapdre wengi siku hizi wanabanjua ila wanajidai

Kuna moja wa chama fulani kabanjua mke mtu.
 
Mwalimu kumtia mwanafunzi, NI KOSA! Vp mimba wanazopewa mtaani? Mabinti cku hz hawana bikra,nani anazitoa?! Ni walimu au?? Midingi wangap wanatembea na mabint wa shule...KUWALAUMU WALIMU NI UJINGA MTUPU, LETS THNK LOGICALLY, kati yenu, hamjawatia wanafunzi nyie...Loh
 
Back
Top Bottom