Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,004
- 5,167
Hii ni kweli aisee.Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Kweli kabisa mkuuHii ni kweli aisee.
Mwalimu anafanya kazi na kuridhika na hatima yake.
Ndio maana hata watoto wao wanakuwa poa sana kimaadili sio wote lakini.
Mwalimu anafanya kazi kuanzia saa moja na nusu hadi saa nane mchana. Anarudi nyumbani.
Jumamosi na jmapili anakuwa na familia yake. Siku zote za holiday za kitaifa na za mikutano ya ccm anakaa nyumbani.
Mwl anauhakika wa kula na kulala maisha yake yoote.
Hana presha.
Upelelezi haujakamilika.Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Tushirikishe tujue mkuuMe nimeacha kufundisha miaka mingi sasa, ila kitendo cha kuwahi kuwa mwalimu tu bhaass...wanangu wote nilowasomesha now kama tupo sawa tu
Na hii Imekuwa hivi miaka na miaka karibu kwa walimu wote. Siri ni nini haswa?
Jidanganye 🤣