Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.
Hahahaha, umenichekesha sana we jamaa.!Walimu wengi ni Aliens
Hii mada imenikumbusha mbali juzi nimekutana Mwl. Aliyemfubdisha bibi yangu bado yuko vilevile aisee maajabu kweli