Kwanini Walimu Hawavai Uniform?

Kwanini Walimu Hawavai Uniform?

Shida za walimu hata mtoto wa chekechea anazijua...ndo tusifanye kosa tarehe 25 koh koh koh
watuuuuuuuuuuuu nguvuuuuuuuuuuuu
 
Shida za walimu hata mtoto wa chekechea anazijua...ndo tusifanye kosa tarehe 25 koh koh koh
watuuuuuuuuuuuu nguvuuuuuuuuuuuu

Ha Ha Haa.Tuwape Uwaka Kura.Au Salt Unasemaje???
 
Napata Wivu Sana Ninapoona Waganga, mapolisi, askari, madereva, makondakta, mainjinia, Mabamedi, mahotelia, wafanyakazi Wa Mitandao, na Wengine Wanapokua Wamevaa Uniform Muda Wa Kazi.

Kwanini Walimu Wasiwe Na Uniform?

Jibu ni kwamba,mwalimu hana uniform kwa sababu teyari anaepatiwa huduma ameshavaa uniform(mwanafunzi)
 
Yaan mbali na haka kamshahara kadogo lakin bado pia mnataka tununue na uniform???
 
Jaman Umeamkaje Wew? Unataka Tuwe Na Uniform Il Iweje Wengine Hawataki Kujulikan Bila Shaka Unaham Ya Kufahamik Wew N Mwalimu We Utakuwa Yule Mtu Amby Hata Kanisan Unataka Uvae Kofia Na T Shirt Ya Chama Cha Walimu
Unifrm Zina Limit Sna Kwa Wafanyakaz Hata Kama Unakadharura Kidgo, Ka Kufanya Utoreke Kazin Kwa Mda Li Uniform Linazingua ,,,,kalam Zako Kama Nine Iv Zik Kweny Mfuko Wa Shati Mara Nyekund Moja,blue Mbil Na Zile Mchanganyiko Afu Ka Kakaratas Ka Salio Bank Umekabana Kwenye Mfuniko Wa Kalamu Ya NmbJumuisha Na Salary Slip Za Mwaka Jana .... Kama Unataka Uniform Badil Fan Mwalimu N Matend Na Sio Kuwa Na Manguo Ya Kufanana, je ukiwa Afisa Elimu! Si Utataka Nguo Zako Zipigwe Cha Ya Uafisa Elimu
 
Bila mshahara mnono,malipo ya likizo,overtime na uhamishoualimu ni mateso,ugombane na wanafunzi kila siku mpaka upewe majina kama bansenbana,Poyoyo,Yesu,Guruwe Poli,Leja,n.k,ugombane na walimu wenzako,Mkuu wa shule,wazazi na jamii,saccos,pia ugombane na ubao,bado Afisa Elimu na waratibu!Ualimu full migogoro!
 
Ufanye Hayo Yote Na Li Uniform Lako Haha Huyu Jamaa Kapoteza Dira
 
Bila mshahara mnono,malipo ya likizo,overtime na uhamishoualimu ni mateso,ugombane na wanafunzi kila siku mpaka upewe majina kama bansenbana,Poyoyo,Yesu,Guruwe Poli,Leja,n.k,ugombane na walimu wenzako,Mkuu wa shule,wazazi na jamii,saccos,pia ugombane na ubao,bado Afisa Elimu na waratibu!Ualimu full migogoro!

Exaggration.....
 
Back
Top Bottom