Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

Nazani hapa unaongelewa ulimwengu mwingine kabisa ukiwa umelewa akili na maarifa yako yanakuwa katika ulimwengu mwingine mbwa Ili akuone na hatia lazima uwe katika ulimwengu wake
 
Nazani hapa unaongelewa ulimwengu mwingine kabisa ukiwa umelewa akili na maarifa yako yanakuwa katika ulimwengu mwingine mbwa Ili akuone na hatia lazima uwe katika ulimwengu wake
mkuu umejibu kitaalam zaidi na huo ndio ukweli coz ile tembea yenyewe mbwa anajua unajianda na kutake position kwa mashambulizi hapo anaona kuwa huyu sitakuwa na pakukimbilia coz anakanyaga kote kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…