Kwanini wake zetu hawatuamkii asubuhi?

Kwanini wake zetu hawatuamkii asubuhi?

Shikamoo is too formal, afadhali akupige busu unajibu kwa kupapasa booty kishikaji.
 
Kwa viruga inakuwa rahisi. Nakumbuka mama alikuwa anamsalimia baba kila asubuhi na jioni akirudi ila kwa kiruga mambo ya shikamoo hayanogi.
 
Mke wako yuko sahihi. Wewe kwa nini umvue wkt yeye ni mtu mzima?
Anataka avue mwenyewe wewe chapa kazi usilembe usiku mzima wewe ni kuvalisha tuuuuuu na kuvua kwa nini akupe shikamoo!
 
Back
Top Bottom