Kwanini wake zetu hawatuamkii asubuhi?

Kwanini wake zetu hawatuamkii asubuhi?

Salamu ya Shikamoo ilishapitwa na wakati tangu enzi za utumwa zilipoisha!
Shikamoo maana yake “ niko chini ya miguu yako”
Baada ya utumwa kuisha hiyo salamu haina maana tena,
Lakini sasa jamii imekariri , mtu asipofanya hivyo ataonekana hana adabu!
Salamu zinazokubalika ni zile za kiimani matharan;
1. Asalam alyekum
2. Bwana asifiwe
n.k

Salamu nyingine ni za kawaida kutokana na majina
Mfano asubuhi ;
Umeamkaje? Umeshindaje n.k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinywa changu kutamka hilo neno shikamooo inakuwa shida.
 
Wewe tafuta pesa kwanza, ukishazipata si wanawake pekee hata wanaume wenzio pia watakuamkia bila kujari kama wamekuzidi umri.
 
Back
Top Bottom