Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom?

Kwanini wake za watu hawapendi kutumia Condom?

Wamezoea chukuchuku kwa taarifa yako ndo wanao ongoza kwa maambukizi
 
Mtoa mada umetembea na wangapi kudhibitisha hoja yako?
 
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?

Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?

Ni kwanini hawahurumii uhai wao?

Huu utafiti unaweza kutusaidia kutatua tatizo la maambukizi iwapo utakuwa supportedna ushahidi usio na mawaa!
Lete data zinazoshikika ili tusadiki
 
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?

Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?

Ni kwanini hawahurumii uhai wao?


Usije kukuta wameshajua kuwa kuna uwezekano wameathirika kutokana na waume zao kujirusha hovyo mitaani hivyo nao wanajirusha bila kinga ili waeneze janga la taifa. Ni hatari sana na kweli wanafanya hivyo kwani ninawafahamu baadhi yao ila siwezi kuwataja, ukiwaona mtaani wapole lakini kwa ugawaji noma. Binafsi siwalamu kwani mara yingi ukiona jimama linafanya hivi basi juwa kuna kitu ana miss kwa mumewe au la anataka kulipiza kisasi hivyo njia rahisi mi naona ni kujichunga tu kwani kuibiana kwenye ndoa hakuepukiki, ni janga la dunia.
 
Mtoa mada umetembea na wangapi kudhibitisha hoja yako?
hivi ukitembea na wanawake kumi ingawa sio kwa mfululizo lakini ukaona kuwa katika hao kumi, 7 hawataki kabisa kondom lakin na hata kwa hao watatu uliotumia kondom hawakufurahi na zilipoisha waliomba muendelee ivoivo yaani kavukavu unaweza ukafikiriaje?
 
Usije kukuta wameshajua kuwa kuna uwezekano wameathirika kutokana na waume zao kujirusha hovyo mitaani hivyo nao wanajirusha bila kinga ili waeneze janga la taifa. Ni hatari sana na kweli wanafanya hivyo kwani ninawafahamu baadhi yao ila siwezi kuwataja, ukiwaona mtaani wapole lakini kwa ugawaji noma. Binafsi siwalamu kwani mara yingi ukiona jimama linafanya hivi basi juwa kuna kitu ana miss kwa mumewe au la anataka kulipiza kisasi hivyo njia rahisi mi naona ni kujichunga tu kwani kuibiana kwenye ndoa hakuepukiki, ni janga la dunia.
hayo nayo yanawezekana...lakini all in all huwa wanawake hawanaga control inapokuja swala la kutumia condom...huo ni ukweli hasa kwa married women
 
Hii sasa ni hatari, hivi nini kinachoendelea katika hii jamii?

Hivi ni kwanini wanawake walio kwenye ndoa wanapoamua kutoka nje ya ndoa hawapendi kutumia kinga wakati wa kufanya zinaa?

Ni kwanini hawahurumii uhai wao?

heeeeee embu twambie uliokutana nao wote hawataki condom???? pole.
 
Watu wanatoka nje ya ndoa kutafuta wanavyo vikosa, huwenda kwenye ndoa zao huwa wanafanya mapenzi kwa kutumia kondom kila siku, hivyo kulazimika kutafuta mtu asiye tumia kondomu=kutafuta ka ukimwi na mtoto wa mchepuko.
 
Hapo red kilichoathiri ni sampling technique
Naweza sema ilikuwa purposely but hakika haikuwa random sampling
So huwezi sema wanamme wa kitanzania 50% wanabambikwa watoto maana waliopimwa ni wale kwa namna moja au nyingine walikuwa wanataka kuhakiki kama ni wababa halali.

Ndio maana kila research lazima useme methodology, wana maana yao kuweka hivi maana ukutumia sample zingine majibu yanaweza kuwa opposite ya haya.

Kuhusu kuongoza kwa maambukizi ya ukomwi kwa walio kwenye ndoa siwezi sema sana
But, hivi watu wazima wenye umri wa kuwa na ndoa, wapi wengi, walio kwenye ndoa au wasio na ndoa??

Yaani kila nikijitahidi kukuchukia nashindwaaaah!!!!!
 
Ungewaulizaa maana hutumii nao kondom wote hamjihurumii
 
Back
Top Bottom